permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Hapo ni Mo anaweka uwekezaji wa muda mrefu kidogo, Babra ashaanza kuchuja hivyo mrithi lazima aanze kuandaliwa.Mkuu ahsante sana kwa ufafanuzi maana daa nilishangaa sana jana kwa promo zote zile hata mpira wa kurusha tu ulimshinda na tukio lingine alipiga hewa badala ya mpira nikajua tayari Simba wameshapigwa za uso mchana kweupe.