Kinda mpya wa Simba queens (Victoria Masele)

Kinda mpya wa Simba queens (Victoria Masele)

Mkuu ahsante sana kwa ufafanuzi maana daa nilishangaa sana jana kwa promo zote zile hata mpira wa kurusha tu ulimshinda na tukio lingine alipiga hewa badala ya mpira nikajua tayari Simba wameshapigwa za uso mchana kweupe.
Hapo ni Mo anaweka uwekezaji wa muda mrefu kidogo, Babra ashaanza kuchuja hivyo mrithi lazima aanze kuandaliwa.
 
Nipo tayari kukabidhiwa kadi ya uanachama, na hivyo na mimi kuwa mbumbumbu fc! Iwapo tu mtanikabidhi rasmi niwe mdhamini na mtunzaji wa huyo mchezaji wenu.

Na mkataba naahidi utakuwa ni wa kudumu na utakao sainiwa na pande zote mbili. Mtoto ni mbichi aisee! 😋 Halafu haonekani kama kilomita zimeenda sana!!
 
Hicho kitoto cha Simba kinaweza kweli kukabana na hilo jiwe la Yanga nililoliona hapo juu?
 
Mkuu ahsante sana kwa ufafanuzi maana daa nilishangaa sana jana kwa promo zote zile hata mpira wa kurusha tu ulimshinda na tukio lingine alipiga hewa badala ya mpira nikajua tayari Simba wameshapigwa za uso mchana kweupe.
Kumbe, bora mtoto wa watu arudi kwao, utopolo walishaanza kujipanga wakamuhonge mihogo ya kuchoma.
 
Nilitazama mpira jana "live" kupitia Global TV lakini mbona kama mtupu sana uwanjani kwani hata mpira wa kurusha tu ulimshinda. Kwa jinsi nilivyomuona jana nahisi usajili wake Simba kuna ujanja ujanja fulani kwani hana uwezo wa kuchezea Simba Queen. Labda waseme tu ameomba kuja kufanya mazoezi apate uzoefu.
huyo sio sajili ya Simba,ni shabiki tu alipewa shavu kuleta amsha-amsha. Kocha alitoa taarifa kwa media
 
Back
Top Bottom