permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Hapo ni Mo anaweka uwekezaji wa muda mrefu kidogo, Babra ashaanza kuchuja hivyo mrithi lazima aanze kuandaliwa.Mkuu ahsante sana kwa ufafanuzi maana daa nilishangaa sana jana kwa promo zote zile hata mpira wa kurusha tu ulimshinda na tukio lingine alipiga hewa badala ya mpira nikajua tayari Simba wameshapigwa za uso mchana kweupe.
Kumbe, bora mtoto wa watu arudi kwao, utopolo walishaanza kujipanga wakamuhonge mihogo ya kuchoma.Mkuu ahsante sana kwa ufafanuzi maana daa nilishangaa sana jana kwa promo zote zile hata mpira wa kurusha tu ulimshinda na tukio lingine alipiga hewa badala ya mpira nikajua tayari Simba wameshapigwa za uso mchana kweupe.
huyo sio sajili ya Simba,ni shabiki tu alipewa shavu kuleta amsha-amsha. Kocha alitoa taarifa kwa mediaNilitazama mpira jana "live" kupitia Global TV lakini mbona kama mtupu sana uwanjani kwani hata mpira wa kurusha tu ulimshinda. Kwa jinsi nilivyomuona jana nahisi usajili wake Simba kuna ujanja ujanja fulani kwani hana uwezo wa kuchezea Simba Queen. Labda waseme tu ameomba kuja kufanya mazoezi apate uzoefu.