Kindege kimekula tsh miasita yangu ya kiitanzania

Kindege kimekula tsh miasita yangu ya kiitanzania

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
4,335
Reaction score
9,286
Ndio ilikuwa hela ya mwisho asee nimeumia sana maumivu yake hayasimuliki na huu usawa wa. Samia

Alafu napoteza hela kizembe dah dunia haina huruma
 
Screenshot_20260406-130034~2.jpg
 
Ndio ilikuwa hela ya mwisho asee nimeumia sana maumivu yake hayasimuliki na huu usawa wa. Samia

Alafu napoteza hela kizembe dah dunia haina
😅😅😅 eti tsh mia sita yangu ya kitanzania
 
Daah kwanza hizi game ukifanikiwa kupata angalau robo ya pesa uliyoweka funga hesabu kwa siku hiyo kimbiaa, tamaa ikishakuingia umekufa 😁😁
 
Back
Top Bottom