habari madoctor wa jf .mimi nina uwezo wa kumaliza chakula chenye ujazo wa kindo lita kumi,je! Linaweza likawa tatizo lolote tumbon mwangu?.halafu cha ajabu sipati haja kubwa nina mwezi sasa...naomba ushaur.......
au umetoboka?
nipeleke jokes kivip jomba ,wakati hili tatizo ni serious linaitaji ufumbuziUngeipeleka jokes hii kk
Duu, umenikumbusha wakati niko O-Level kule Tanga (TTS), jamaa walibishana kama kuna mtu anaweza maliza mikate 10. Msukuma mmoja toka Magu, Masanzakona, kijiji cha Gininiga akadai yeye anaweza. Ikaamuriwa kuwa akiweza kuila yote hamna deni ila, akishindwa kuimaliza mikate hiyo kumi basi anapaswa kulipa mikate hiyo pamoja na ile aloibakiza. Jamaa alituacha hoi kwa kuomba chai ya rangi kikombe cha nusu lita, alipoletewa alianza kama ifuatavyo.....Jamaa aliipiga ile mikate mikavumikavu wa kwanza hadi wa 8, akashushia na funda la chai.......jamaa aliyenunua ile mikate kuona hivyo akaamua kuipora ile 2 ilobaki ili asipate hasara....
Habari za JKT? Umemaliza salama?