haa haaa una utani weweMh,siku ukipata haja njoo shambani kwangu...!!
Habari madoctor wa jf .mimi nina uwezo wa kumaliza chakula chenye ujazo wa kindo lita kumi,je! linaweza likawa tatizo lolote tumbon mwangu?.halafu cha ajabu sipati haja kubwa nina mwezi sasa...naomba ushaur.......