Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Habarini
Huyu jamaa nasikia anamiliki king d auto spares, huenda labda anamiliki king d hotel ya sinza
Hizi pesa nyingi watu wanazipataje wakuu.🤔mtu mwenyewe haendani na pesa anazomiliki, mtu amevaa suti ila suruali amepiga mlege😁
Lugumi muonekano wake unaendana na pesa anazomiliki ila sio huyo king d
Nimeona YouTube, nyumba alioionesha kwa levo za kibongo bongo ni ya kifahari si mchezo, ghorofa ya juu kuna swimming.