pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
[emoji24][emoji24][emoji24]Kijana anataka kuwa na nyumba ya hivyo? Upo tayari? Pm namba yako utapewa za hivyo mbili
Dokta shikamooo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Bongo tunaoneshana mafanikio ila sio code za mafanikio
Marhaba bwana mdogo vp hali yakoDokta shikamooo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mbona kuna kijana kaenda machimbo, kakaa 4yrs karudi hana kitu.Vijana wanapambana mkuu, nenda sehemu wanazo chimba madini utakutana na vijana wana miliki vitu vikubwa na hawana kelele.
Uliwahi kuchunguza chanzo cha umasikini wake hapo kabla......?
Sijamaanisha wote wanafanikiwa mkuu, ila wapo vijana wengi wana mafanikio makubwa.Mbona kuna kijana kaenda machimbo, kakaa 4yrs karudi hana kitu.
Mmmmh