Ili ukalie Middle fingerOk... tufanye nini sisi hapa JF?
Sio povu ni ukweli unaouma... najua hata wewe limekugusa piaPovuuuu
Wapiga dili hao mziki hawajui wanachofanya ni sawa na kubeba maji kwenye tengaHii topic ya kufanya manunuzi you tube imewakamata kwelikweli
Mkuu unaelewa maana ya brand new? muulize boss wako kwanini hiyo nyimbo kaipeleka uingereza lkn Bongo haisikikiAnanunua mpaka airtime uingereza, go diamond,usijali sana kuhusu maneno yao, kwani beef huletwa na CHUKI (fid Q bongo hip hop) fanya yako achana na wanaokuchukiaView attachment 440972
Namba 1 & 2 ni kweli kabisa,na KESHAWAAMBIA KAMA WANATAKA BIFU BASI LIWE LIVE IJULIKANE KWA KILA MMOJA ILI TUTENGENEZE PESA,SIO MAFUMBO MITANDAONI.Wasanii wakubwa Tanzania (alikiba &diamond) ni dhahiri kwamba kwa sasa alikiba amechoka kuvumilia maneno ya na kauli mbaya kutoka kwa diamond.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram alikiba alipost picha ikionyesha amevaa Pete na kuandika "Pete ya kijani"
Baada ya mda kidogo alipost picha na kuandika "simba original"
Akiwa yupo katika mapumziko ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Kauli tata za diamond kwa kiba
1.Kama mziki ni sauti ningemasign wema sepetu (angekuwa msanii mkubwa)
2.shoo zenyewe akipata ni Mombasa au Nairobi kwa kupitia connection za rafiki yake (Ali joh)
3.Mimi sivai Pete ya kijani Kama wao
4.Kama wao wakali tuandae show tujue nani mkali lakini wananiogopa nimetuma mpaka watu wamekataa
Hizo ni baadhi ya chache ila zipo nyingi,kwa kinachoendelea Instagram page ya alikiba yupo sahihi ameamua kuvunja ukimya
Ngoja tuone runner up and winner (team Tanzania)View attachment 441149
Sina ugomvi na Diamond na wala sio mpenzi wa makundi haya mawili ila yatupasa kuelewa ukweli wa mambo kati ya hao manguli wawili. Kuna sehemu Bwana Nassib Abdul anakosea na inaonekana ni maamuma hasa kwenye masuala ya vito na dini yake anayoabudu. Hususan kwenye suala la uvaaji wa pete kwa wanaume wa kiislamu.Wasanii wakubwa Tanzania (alikiba &diamond) ni dhahiri kwamba kwa sasa alikiba amechoka kuvumilia maneno ya na kauli mbaya kutoka kwa diamond.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram alikiba alipost picha ikionyesha amevaa Pete na kuandika "Pete ya kijani"
Baada ya mda kidogo alipost picha na kuandika "simba original"
Akiwa yupo katika mapumziko ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Kauli tata za diamond kwa kiba
1.Kama mziki ni sauti ningemasign wema sepetu (angekuwa msanii mkubwa)
2.shoo zenyewe akipata ni Mombasa au Nairobi kwa kupitia connection za rafiki yake (Ali joh)
3.Mimi sivai Pete ya kijani Kama wao
4.Kama wao wakali tuandae show tujue nani mkali lakini wananiogopa nimetuma mpaka watu wamekataa
Hizo ni baadhi ya chache ila zipo nyingi,kwa kinachoendelea Instagram page ya alikiba yupo sahihi ameamua kuvunja ukimya
Ngoja tuone runner up and winner (team Tanzania)View attachment 441149
Ebu Katie mawaidha misikitini uko umetuchosha na mawaidh yakoSina ugomvi na Diamond na wala sio mpenzi wa makundi haya mawili ila yatupasa kuelewa ukweli wa mambo kati ya hao manguli wawili. Kuna sehemu Bwana Nassib Abdul anakosea na inaonekana ni maamuma hasa kwenye masuala ya vito na dini yake anayoabudu. Hususan kwenye suala la uvaaji wa pete kwa wanaume wa kiislamu.
Kwa hili la pete naona Diamond amekosea sana. Kijana wa Kiislamu havai pete ya Dhahabu. Ni wanawake ndio wanaovaa pete ya dhahabu. Inavyoonekana elimu ya kiislamu kwa Diamond ni ndogo sana au hajapitia kabisa. Ni vyema akatumia muda huu kujielimisha badala ya kurumbana na mwenzake ambae yuko vizuri katika elimu. Ni kweli kabisa Ali hapaswi kuendelea na marumbano na mtu asiyetaka kuijua vizuri dini yake.
KWANINI WANAUME HARAMU KUVAA DHAHABU
Alikiba anaishi kwenye tasnia ya muziki
Kwa nguvu ya kick
Hana lolote
Hili jambo niliwahi kumuambia mtu fulani.Sina ugomvi na Diamond na wala sio mpenzi wa makundi haya mawili ila yatupasa kuelewa ukweli wa mambo kati ya hao manguli wawili. Kuna sehemu Bwana Nassib Abdul anakosea na inaonekana ni maamuma hasa kwenye masuala ya vito na dini yake anayoabudu. Hususan kwenye suala la uvaaji wa pete kwa wanaume wa kiislamu.
Kwa hili la pete naona Diamond amekosea sana. Kijana wa Kiislamu havai pete ya Dhahabu. Ni wanawake ndio wanaovaa pete ya dhahabu. Inavyoonekana elimu ya kiislamu kwa Diamond ni ndogo sana au hajapitia kabisa. Ni vyema akatumia muda huu kujielimisha badala ya kurumbana na mwenzake ambae yuko vizuri katika elimu. Ni kweli kabisa Ali hapaswi kuendelea na marumbano na mtu asiyetaka kuijua vizuri dini yake.
KWANINI WANAUME HARAMU KUVAA DHAHABU
Swadakta ila ilmu ni popote pale. Hawa vijana inatakiwa waijue elimu ya dini ili waelewe makatazo yaliyopo kwenye dini yao. Sijui kama Diamond atajibu au kuweka mzaha kwenye dini kama hivi unavyojibu. Najua nitakuudhi wewe lakini ujumbe lazima umfikie popote pale alipo ili afahamu kosa lake. Najua pindi akielewa amefanya makosa ataomba radhi kama muungwana ukizingatia huo ndio msingi wa dini anayoiabudu.Ebu Katie mawaidha misikitini uko umetuchosha na mawaidh yako
Acha kuharibu sifa ya ushekhee wewe unadhani unapewa tu sio bongo fleva hyo achaaaa kabisaaaaHayo mambo peleka msikitini shehhe wangu. Diamond iz another figure
Kila mtu anamshangaa najua kwamba amepitiwa ila kwa tunaofahamu ni wajibu wetu kumuelimisha ili aachane na vitu vinavyoidhalilisha dini yake. Najua pindi akifahamu hatorudia.Hili jambo niliwahi kumuambia mtu fulani.
Nashangaa Diamond anajinasibu kama muislam safi ilhali anavaa dhahabu.
Nachefukwa sana ninapomuona mwanaume akivaa dhahabu.
Huyu nae katokea wapi ...........???Sina ugomvi na Diamond na wala sio mpenzi wa makundi haya mawili ila yatupasa kuelewa ukweli wa mambo kati ya hao manguli wawili. Kuna sehemu Bwana Nassib Abdul anakosea na inaonekana ni maamuma hasa kwenye masuala ya vito na dini yake anayoabudu. Hususan kwenye suala la uvaaji wa pete kwa wanaume wa kiislamu.
Kwa hili la pete naona Diamond amekosea sana. Kijana wa Kiislamu havai pete ya Dhahabu. Ni wanawake ndio wanaovaa pete ya dhahabu. Inavyoonekana elimu ya kiislamu kwa Diamond ni ndogo sana au hajapitia kabisa. Ni vyema akatumia muda huu kujielimisha badala ya kurumbana na mwenzake ambae yuko vizuri katika elimu. Ni kweli kabisa Ali hapaswi kuendelea na marumbano na mtu asiyetaka kuijua vizuri dini yake.
KWANINI WANAUME HARAMU KUVAA DHAHABU
Ni daawa ndio inayotusukuma kuupasha umma pindi tuonapo mwenzetu anapotoka au kupotoshwa na watu wanaomzunguka.Huyu nae katokea wapi ...........???
Daawa ndio nini ....??Ni daawa ndio inayotusukuma kuupasha umma pindi tuonapo mwenzetu anapotoka au kupotoshwa na watu wanaomzunguka.
Mafunzo memaDaawa ndio nini ....??