Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa ukiangalia hata vijana kama MoDewji ana hela kuliko Baba yakoKumbe mtu anaweza kukuzidi kiumri lkn ukaja ukamzidi hela mfano kiba anamzidi domo kama miaka mitano iv lkn kimkwanja kiba anakimbizwa balaaa
Pesa za ujanja ujanja na wanga siyo pesaPesa zake za uchawi... Mgongo umejaa machale kama chinga
Kwani yesu ndugu yako mkuu? Mbona povu linakutokaSamahani mkuu,na wote niliowakwaza, ila huyo jamaa kanikera sana kumuingiza YESU kwenye upuuzi.
Chuki huwa inamfanya mtu aongee ujingaKiba ana miaka 40 according to mtoa mada
Hela zote za justin bieber kwa Trump ni matumizi yake ya siku 1 tujustin bieber ana miaka 21 amemzidi hela mpaka rais wake trump
NdioKwani yesu ndugu yako mkuu? Mbona povu linakutoka
Kamwambie boss wako atoe yale mafuvu aliyoweka mezani ofisini kwake... Usijifanye huyajuiHapo amevaa pete!!!??
![]()
Jitolee ww mfano , unamtoleaje mfano mwanaume mwenzio[emoji57] [emoji57] [emoji57]Kumbe mtu anaweza kukuzidi kiumri lkn ukaja ukamzidi hela mfano kiba anamzidi domo kama miaka mitano iv lkn kimkwanja kiba anakimbizwa balaaa
Samahani sana. Najua hujaweza kuelewa nini nilichokuwa namaanisha. Mimi namshangaa huyo kijana anayemsema mwenzake aliyevaa pete ya kito kisichokuwa cha dhahabu. Mwenzake (Kiba) nafikiri anayo elimu nzuri ya kiislamu na ndio maana amevaa pete ya hicho kito.Kamwambie boss wako atoe yale mafuvu aliyoweka mezani ofisini kwake... Usijifanye huyajui
Kama ni hivyo sawa maana niliona mapovu yanakutokaNdio
Samahani mkuu,na wote niliowakwaza, ila huyo jamaa kanikera sana kumuingiza YESU kwenye upuuzi.