King Kiba amjibu Icon wa Taifa Diamond Platinumz

King Kiba amjibu Icon wa Taifa Diamond Platinumz

Kumbe mtu anaweza kukuzidi kiumri lkn ukaja ukamzidi hela mfano kiba anamzidi domo kama miaka mitano iv lkn kimkwanja kiba anakimbizwa balaaa
justin bieber ana miaka 21 amemzidi hela mpaka rais wake trump
 
Msanii wa k'ko King Kiba anaetarajia kufikisha miaka 40 hapo kesho amejibu kauli ya Icon wa Taifa, Mr Oxygen, Chibu Dangote. Simbaaaaa, Diamond Platinumz kuhusu pete ya kijani wiki iliopita Diamond alinukuliwa kwny XXL akisema “Mimi sina matatizo na watu ndio maana wakijaribu kushindana na mimi huwa wanashindwa. Hata ukiniangalia sina hata pete ya kijani kwenye vidole vyangu.”

Upande wa Alikiba leo ameweka picha kwenye mtandao wa Instagram na kuandika, caption “Pete Ya Kijani
[HASHTAG]#BirthdayLoading29thNoV[/HASHTAG] [HASHTAG]#KingKiba[/HASHTAG].”

98d1860f4e823001a349b1cfb4db0bfe.jpg



fa9334ffe94ae03fc5bed608a610c7d7.jpg


Hapo amevaa pete!!!??
15056662_331170897262349_6840282975670632448_n-1.jpg.pagespeed.ce.6jOHdgVryp.jpg
 
Nimeamini kibakuli anajishighulisha sana na mond kikwapi ooh tembo mpole oooh anajielewa icho juu nn aibu yenu smh[emoji57][emoji57][emoji57] na bado watachezeshwa sankoro mpaka wakome chezea mr oxygen
 
Kiki zinapatikana Wasafi tu, tumemzoea na wenzake Hbaba, Vitobo ya mashavu, ma'ex wote walewale..

Chibu Dangote hakumtaja mtu, ila ye katafuta hiyo pete ili ionekane aliongelewa yeye..
Duh so alimsema shamsa ford au
 
kwani hiyo pete ni ya kijani wakuu?
surely i am not colour blind.
 
Back
Top Bottom