unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,045
Simba hatoboi pua weweHuyu nae anamchokoza simba akijibiwa aombe intavyuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba hatoboi pua weweHuyu nae anamchokoza simba akijibiwa aombe intavyuu
Hii topic ya kufanya manunuzi you tube imewakamata kwelikweliAnanunua mpaka airtime uingereza, go diamond,usijali sana kuhusu maneno yao, kwani beef huletwa na CHUKI (fid Q bongo hip hop) fanya yako achana na wanaokuchukiaView attachment 440972
Nani ameongelea mambo ya hela hapa dogoKumbe mtu anaweza kukuzidi kiumri lkn ukaja ukamzidi hela mfano kiba anamzidi domo kama miaka mitano iv lkn kimkwanja kiba anakimbizwa balaaa
dah! umenimalizia siku...Kwani kuna shida gani!?yesu anamiaka zaidi ya 2000 mpka Leo bado anakaa kwa babake itakuwa kiba??
PovuuuuNi kweli kabisa ukiangalia hata vijana kama MoDewji ana hela kuliko Baba yako
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Kumbe tunamuoneaga tu domo kumpambanisha na vibabu
Shauri ake, akijibiwa kama mzee wa kupumuliwa asilie lieSimba hatoboi pua wewe
Ila aloambiwa kuwa kanunua views povu lilimtoka sana kuliko wa kupumuliwa hapo tunaweza pima nani kilimtouch kumoyo hahaShauri ake, akijibiwa kama mzee wa kupumuliwa asilie lie