King Kiba amjibu Icon wa Taifa Diamond Platinumz

King Kiba amjibu Icon wa Taifa Diamond Platinumz

Ukimuangalia kibakuli uso umeanza kujikunja mashavu yamejikunja 40 ila Ana watoto 7 kila toto na mama yake bado jokate
 
Wasanii wakubwa Tanzania (alikiba &diamond) ni dhahiri kwamba kwa sasa alikiba amechoka kuvumilia maneno ya na kauli mbaya kutoka kwa diamond.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram alikiba alipost picha ikionyesha amevaa Pete na kuandika "Pete ya kijani"

Baada ya mda kidogo alipost picha na kuandika "simba original"
Akiwa yupo katika mapumziko ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Kauli tata za diamond kwa kiba

1.Kama mziki ni sauti ningemasign wema sepetu (angekuwa msanii mkubwa)
2.shoo zenyewe akipata ni Mombasa au Nairobi kwa kupitia connection za rafiki yake (Ali joh)
3.Mimi sivai Pete ya kijani Kama wao
4.Kama wao wakali tuandae show tujue nani mkali lakini wananiogopa nimetuma mpaka watu wamekataa

Hizo ni baadhi ya chache ila zipo nyingi,kwa kinachoendelea Instagram page ya alikiba yupo sahihi ameamua kuvunja ukimya

Ngoja tuone runner up and winner (team Tanzania)
Screenshot_2016-11-29-18-55-04.png
 
Hiyo mipasho wange waachia dada zao wao waendelee kutoa ngoma kali mashabiki tuburudike!
 
kiba anadhihirisha hofu yake kwa diamond,
Ye ni balozi.wa tembo iyo mbunga haina tembo?

Pia hiyo pete aliyoivaa kiba ni yakijani?kama sio why anashoboka na maneno yasiyomuhusu?
 
Back
Top Bottom