King Kiba anafunga Mwaka Leo ndani ya capital city Dodoma

[emoji1] [emoji1] [emoji1] Nilipoona avatar nikajua ni yule team kiba amekubali kuwa sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, kumbe ni wewe mkuu!!!
 
Kweli king 'K' hatari sana ndani ya club duh...show hizi ndogo ndongo le mutuz bebezz you know he love it..amemkataza msanii Darassa
 
nilidhani nifah
ningeshangaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hajafanya show kaacha vurugu tu watu wanadai kiingilio chao
 
Ali Kiba bado anajishushia thamani kunako Anga za Bongo.Yeye ni msanii Legendary inatakiwa Show zinaandaliwa kikamilifu ndiyo unahudhuria.Sasa Washabiki huwa tunafuata upepo tukiona hatutendei haki tunamgwaya
 
sasa mtu unaenda kufanya show sebulen kwan pasijae watu 50 tu kumejaa [emoji125][emoji125]
Sidhani pia kama ni sahihi kufanya show kwenye uwanja tena ambao hauna hadhi, angalau pale Taifa unaweza kueleweka. Music unatakiwa uwe kwenye kiwanja sahihi, unapata starehe, ukumbi uko na conducive environment. Kwa bahati mbaya miji yetu mingi haina kumbi kubwa na za kisasa.
 
Jeshi La mtu mmoja na tunasubir [HASHTAG]#FUNGAMWAKA[/HASHTAG] NA KING KIBA povu litachanganyika na kodjooooo...
 
Shoo hii mbona kama nyuma ya nyumba ya mtu hahahaha


Daaaahh yani hayo mandhari hayana hata hadhi.. Kisehemu chenyewe space ndogooo..

Naona inafanana ya mondi I ile ya zimbambwe aliofanya asubuhi kwenye shamba la watu
 
Wooooyooooo. ..WCB ni habari nyingine. ....team kibakuli wajipange upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…