Kazwala mkuu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,034
- 2,250
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Nilipoona avatar nikajua ni yule team kiba amekubali kuwa sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, kumbe ni wewe mkuu!!!Mashemeji zangu watoto wa kariakoo mnatia huruma! Najiskia niwachane ili mnuneeee [emoji23]
Naona hizi shoo za mwisho wa mwaka tumewashikisha adabu [emoji23] [emoji23]
Sisi ndio WCB we get it custom, nyinyi watoto wa kariakoo you are just customers..
Kasi tunayokuja nayo sasa nawashauri mjenge fensi pale kariakoo! Ila msisahau WCB we digging tunnels.. You will be surprised when we get the money right up under you.. [emoji123] [emoji123]
# WCB # WinnersCycle