King Kiba atupia lawama tena kwa vituo ya radio na Tv

Mbn maneno mengi sana kuna mini ndg
msanii mkubwa kama allykiba sio wa kuanza kulalamika kama vya redio na tv kutopga nyimbo bhanaa, anatuangusha mashabiki wake, hajui kujibu maswal ya interview
 
Huyu jamaa kwa kulialia tu hajambo, kila kitu anaona anaonewa yeye tu.Sasa ikabidi nikachungulie kile kiuchafu chao walichokatoa juzi yeye na huyo mwenye madobo, kucheki naona toba !! linyimbo lilivyo la hovyo limechunguliwa na watu 471,000 na ina siku ya tano(5) leo.
 
Wakati wimbo wa Harmonize MATATIZO ulipiga 1m,kwa wiki moja (7days) Je hii takataka ya hao wa kulilia tuzo itafikisha 1m kwa wiki moja kama leo siku ya 5 ina laki 4,na wapo kolabo ya watu wawili inazidiwa na ya Harmonize .......?
 
Hapo kawachana WCB kwa sababu wakisikia wasanii wengine wametoa wimbo basi nao hutoa ili wasipande chati, WALE mbwa wana roho mbaya sanambwa wale, siyo mshabiki wa ali kiba, ila jamaa wana hila sana ngoja mtaona
 
Mimi nishabiki wa mziki mzuri lakini akitegemea nyimbo zake zichezwe Tanzania tu Dangonte ataendelea kumkimbiza yeye akisema hivo wakina songa watasemaje
 
Hapo kawachana WCB kwa sababu wakisikia wasanii wengine wametoa wimbo basi nao hutoa ili wasipande chati, WALE mbwa wana roho mbaya sanambwa wale, siyo mshabiki wa ali kiba, ila jamaa wana hila sana ngoja mtaona
Sasa wewe toa muziki mzuri kumzidi yeye,ili hata kama anafanya hivo ile kwao,sio unatoa liwimbo libaya kisha unawalaumu wao,sasa wao wasifanye muziki kisa wewe umetoa wimbo......???
 
Kumbe inakimbiza eeeh ndani ya wiki utakuwa na M
 
Hapo kawachana WCB kwa sababu wakisikia wasanii wengine wametoa wimbo basi nao hutoa ili wasipande chati, WALE mbwa wana roho mbaya sanambwa wale, siyo mshabiki wa ali kiba, ila jamaa wana hila sana ngoja mtaona
Na ww usiongozwe na ushabiki kwa hiyo kiba akitoa wimbo wcb hawaruhusiw kutoa mbona yy baada ya salome kaachia kolabo kama mbili iv au tatu je na yy anauzima wimbo wa salome
 
Nyie wabongo yani hata hili aliloongea kiba mnamsema amezidi kulalamika wakati jamaa kaongea kutetea na kwa niaba ya wasanii ambao hukumbwa na majanga,kiba hana shida ya kulalamika nyimbo zake zipigwe usipopiga bado MTV na Trace watu watamwona ila dhairi kaongea hilo kutetea wengine japo inaonekana na yeye kajiweka humo coz kuna wasanii wanatoa ngoma kali ila hazipigwi,yaani mna bahati tu nyerere na team yake kuupigania uhuru wenu coz wa British wangebaki mpaka leo nani angeulizi uhuru,kwa kizazi hiki ukiulizia uhuru tu watu watakutia misingi na mitusi "we nawe unalalamika sana nyoko wewe" while mtu unafanya ivyo kwa ajili yao

Juzi tu apa kulalamikia tuzo yake MTV watu wamemtukana lkn mwisho wa siku MTV wamekubali makosa na leo anaongelea swala hili naona koment za kumponda kibao wakati wengi tunaelewa eatv na clouds wana mtindo wa kutopiga nyimbo za baadhi ya wasanii hata ziwe nzuri kiasi gani,na km namuona vile magufuli anamalizia miaka yake m4 bila kufungua milango ya ajira kwa raha zake coz anajua watz sio watu wa kujua haki zao anajua watz watu wa bora liende embu itokee leo Uhuru Kenyatta afungie ajira then uone mbilinge za wakenya pale km atakaa mtu ikulu..shwaini nyie mtabaki maskini mpk yesu anarudi...
 
Ngoja kwanza... Logically, radio zinapiga nyimbo ambazo wao wanadhan kali au zile gumzo kwa wasikilizaji? Nadhan hata radio nazo zinataka kupiga nyimbo zenye requests nyingi ili kupata watangaza matangazo wengi... Ila labda sijui kitu.
 
Na ww usiongozwe na ushabiki kwa hiyo kiba akitoa wimbo wcb hawaruhusiw kutoa mbona yy baada ya salome kaachia kolabo kama mbili iv au tatu je na yy anauzima wimbo wa salome
Angalia situation inavyokwenda afu wewe ndio utang'amua kama ni ushabiki au ni nini ? Jamaa wanaua mziki wa bongo wantaka wao wenyewe ndio wasikike ni upuuzi, nshakuambia mm siyo shabiki wa ali kiba
 
Sasa wewe toa muziki mzuri kumzidi yeye,ili hata kama anafanya hivo ile kwao,sio unatoa liwimbo libaya kisha unawalaumu wao,sasa wao wasifanye muziki kisa wewe umetoa wimbo......???
Tunajua kwenye jamii kuna watu kama nyie mliojaa hila na chuki, sana wachokifanya siyo poa wata excel lakini kuna nini kama unataka kuua upinzani ? Ndio maana wanaishia kunua tuzi tuu
 
Tunajua kwenye jamii kuna watu kama nyie mliojaa hila na chuki, sana wachokifanya siyo poa wata excel lakini kuna nini kama unataka kuua upinzani ? Ndio maana wanaishia kunua tuzi tuu
Tuzo hazinunuliwi kizembe kama unavyofikiria watu siku hz wanaangalia kura...mfano mzr Alikiba akiwa kwenye categor moja na Diamond platnumz, Alikiba huwa hashindi na halalamiki kwa sababu kura zinaonyesha na watanzania wote tunaziona....halafu jiulize kwa nn Alikiba tuzo zote kubwa akiwekwa category moja na diamond Alikiba anakuwa hana ushawishi mkubwa kwa team yake wampigie kura fact ni kuwa anajua fika hawezi mzidi diamond platnumz kwa kura....!!!!
 
Mi nadhani hawa wasanii watafute njia mbadala wa kutangaza kazi zao baada ya kutegemea radio pekee. Halafu hizi radio wakati mwingine mnazionea bure, kwa mfano radio nyingi kipindi cha muziki ni saa moja, na nyimbo nyingi za tanzania ni dakika 4, hivyo basi ktk saa moja zitapigwa nyimbo za wasanii 10 na matangazo ya biashara. Sasa je Tanzania kuna wasanii wangapi. Hata wapige muziki kwa masaa 12 ni wastani wa wasanii 180 watapata wimbo mmoja mmoja. Chamsingi wakubali tu kwa sasa wasanii ni wengi na kuna ushindani, na kanuni za ushindani ni kuwa mbunifu ili uwe juu zaidi, soko la muziki ni pana sana ukitengeneza mziki nzuri bado kuna soko nchi jirani pia. Wasanii jipangeni acheni lawama kil kukicha
 
Tunajua kwenye jamii kuna watu kama nyie mliojaa hila na chuki, sana wachokifanya siyo poa wata excel lakini kuna nini kama unataka kuua upinzani ? Ndio maana wanaishia kunua tuzi tuu
Kwahiyo Kiba hana muziki mzuri wakufanya watu wapotezee nyimbo za DIAMOND,ndio maana anataka yeye akitoa wimbo hataki WCB watoe wimbo......???
 
Yaan huyu angekuwa mwanamke ht sipatii picha. Amezidi kulalamika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…