Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 6,754
- 8,750
msanii mkubwa kama allykiba sio wa kuanza kulalamika kama vya redio na tv kutopga nyimbo bhanaa, anatuangusha mashabiki wake, hajui kujibu maswal ya interviewMbn maneno mengi sana kuna mini ndg
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msanii mkubwa kama allykiba sio wa kuanza kulalamika kama vya redio na tv kutopga nyimbo bhanaa, anatuangusha mashabiki wake, hajui kujibu maswal ya interviewMbn maneno mengi sana kuna mini ndg
Sasa wewe toa muziki mzuri kumzidi yeye,ili hata kama anafanya hivo ile kwao,sio unatoa liwimbo libaya kisha unawalaumu wao,sasa wao wasifanye muziki kisa wewe umetoa wimbo......???Hapo kawachana WCB kwa sababu wakisikia wasanii wengine wametoa wimbo basi nao hutoa ili wasipande chati, WALE mbwa wana roho mbaya sanambwa wale, siyo mshabiki wa ali kiba, ila jamaa wana hila sana ngoja mtaona
Kumbe inakimbiza eeeh ndani ya wiki utakuwa na MHuyu jamaa kwa kulialia tu hajambo, kila kitu anaona anaonewa yeye tu.Sasa ikabidi nikachungulie kile kiuchafu chao walichokatoa juzi yeye na huyo mwenye madobo, kucheki naona toba !! linyimbo lilivyo la hovyo limechunguliwa na watu 471,000 na ina siku ya tano(5) leo.
Na ww usiongozwe na ushabiki kwa hiyo kiba akitoa wimbo wcb hawaruhusiw kutoa mbona yy baada ya salome kaachia kolabo kama mbili iv au tatu je na yy anauzima wimbo wa salomeHapo kawachana WCB kwa sababu wakisikia wasanii wengine wametoa wimbo basi nao hutoa ili wasipande chati, WALE mbwa wana roho mbaya sanambwa wale, siyo mshabiki wa ali kiba, ila jamaa wana hila sana ngoja mtaona
Huyo Bwege mbona anapenda sala kulalamika kwenye Social Media/Media.
Angalia situation inavyokwenda afu wewe ndio utang'amua kama ni ushabiki au ni nini ? Jamaa wanaua mziki wa bongo wantaka wao wenyewe ndio wasikike ni upuuzi, nshakuambia mm siyo shabiki wa ali kibaNa ww usiongozwe na ushabiki kwa hiyo kiba akitoa wimbo wcb hawaruhusiw kutoa mbona yy baada ya salome kaachia kolabo kama mbili iv au tatu je na yy anauzima wimbo wa salome
Tunajua kwenye jamii kuna watu kama nyie mliojaa hila na chuki, sana wachokifanya siyo poa wata excel lakini kuna nini kama unataka kuua upinzani ? Ndio maana wanaishia kunua tuzi tuuSasa wewe toa muziki mzuri kumzidi yeye,ili hata kama anafanya hivo ile kwao,sio unatoa liwimbo libaya kisha unawalaumu wao,sasa wao wasifanye muziki kisa wewe umetoa wimbo......???
Tuzo hazinunuliwi kizembe kama unavyofikiria watu siku hz wanaangalia kura...mfano mzr Alikiba akiwa kwenye categor moja na Diamond platnumz, Alikiba huwa hashindi na halalamiki kwa sababu kura zinaonyesha na watanzania wote tunaziona....halafu jiulize kwa nn Alikiba tuzo zote kubwa akiwekwa category moja na diamond Alikiba anakuwa hana ushawishi mkubwa kwa team yake wampigie kura fact ni kuwa anajua fika hawezi mzidi diamond platnumz kwa kura....!!!!Tunajua kwenye jamii kuna watu kama nyie mliojaa hila na chuki, sana wachokifanya siyo poa wata excel lakini kuna nini kama unataka kuua upinzani ? Ndio maana wanaishia kunua tuzi tuu
Kwahiyo Kiba hana muziki mzuri wakufanya watu wapotezee nyimbo za DIAMOND,ndio maana anataka yeye akitoa wimbo hataki WCB watoe wimbo......???Tunajua kwenye jamii kuna watu kama nyie mliojaa hila na chuki, sana wachokifanya siyo poa wata excel lakini kuna nini kama unataka kuua upinzani ? Ndio maana wanaishia kunua tuzi tuu