King Kiba Tumia Akili, " Pop It In Na Yoooo" Ni Maneno Ya Kijinga Kwenye Nyimbo Zako.Badilika

Kama Lil Jon, Master P, Rick Ross, Jadakiss, D-Knob, n.k, ni sawa msanii kuwa na trademark sound. Ila ukiwa na trademark words au phrases, lazima ziwe na maana nyuma yake.

Binafsi pia ningependa kujua hiyo "pop it in" ya Kiba ni nini, studio, label, ama kitu gani?
 
Umeandika ujinga mtupu umejaa chuki ya kichawi..King kiba anawataabisha sana wachawi
 
RICHIE SPICE- Na na na na na na.
BUSY SIGNAL- ateeeee atee.
JAH CURE- cure agaaaaain.
kumbe mleta mada ni mpuuzi umeanza lini kusikiliza music?
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha kwakweli.......ila hata mimi hako kasauti huwa kana nikera sana alianza nako kipindi kile alipokwenda kwa R.KELLY katika ile project ya One 8 kama sijakosea jina........sasa tazama kwenye ile background scene akiwa saloon anatengeneza nywele.........

Utamuona anazungumza then anasema hilo neno 'pop it in' ambalo naona akaona limemfurahisha........ anyways ni uhuru wake kufanya yake lakini asisahau kuwa katika kufanya yake kuna raia anatukera huku.........ni kibiashara zaidi......hauwezi fanya unachotaka simply kwasababu haujali.......ila ni kwasababu unatukera chaaaa.
 
Wewe unaebweka kama mbwa wa polisi kaona nyoka unajua hata kutunga choras moja ya wimbo?unajua wajinga'wewe ndio mjinga kiwango cha Lami za magufuli kipindi hicho.
 
Nyimbo yako iko wapi nyoko wewe, kazi kudis Tu pumbavu umekosa kazi nyau wewe
 
Chuki zimgime bhana, mbona
wasafiiiiiiiiiiiiii haujaitolea povu??
 
Ndugu Yangu Mimi Ni Fan Wa Kingkiba Na Ndio Maana Nimetoa Ushauri Wa Kujenga.Sasa Kuhusu Masuala Ya Ticket Yanaingiaje Hapa
Shabiki unaandika usenge, katika maneno yoootee anayoimba king kiba we unasikiaga hilo Tu sio ?
 
Hahaaa kijana Kila kitu kina namna na Jinsi yake na Kila mtu anautalaam wake na mafikilio yake we umesema Mayback music na aah! Ya huyo hyo rick inatofautiana nn na yooo ya kiba au kiba for real na maybach
 
Mimi yule jamaa ananikera kuimba kama mnaigeria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…