King Messi wedding

Iyo midevu ya kifather zaid
 
Kwisha habari yake...... sasa hivi tutaona kama atapiga vile vichenga vyake.
 
Bora ata Bashite kuliko ww maana jamaa ana watoto wa wili na huyo huyo binti mateo na Thiago hapo ni kama amebariki ndoa
 
Kuzaa na mtu ni tofautina ndoa kijana. Utanielewa ukikua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…