Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ntamfikishia salamu zake.Messi Bujibuji anakutakia kila la kheri kwenye maisha yako mapya ya ndoa. Mungu akubariki na akakufanye kuwa mume bora kama ulivyo mchezaji bora
Kuzaa na mtu ni tofautina ndoa kijana. Utanielewa ukikua.Bora ata Bashite kuliko ww maana jamaa ana watoto wa wili na huyo huyo binti mateo na Thiago hapo ni kama amebariki ndoa
Mbona sikukuona [emoji61] [emoji61]ntamfikishia salamu zake.
Nilihudhuria harusi yake
Miaka yote wanaishi pamojaKuzaa na mtu ni tofautina ndoa kijana. Utanielewa ukikua.
usiwaze mkuu, hata hapa sawa tu..hakijaharibika kituRafiki Yangu mbona hujawa wa kwanza kwangu?
Poa mastaSalute sana jembe langu