jamaa mzuri ila kashndwa ku savaivu kwenye game..
Uzuri wa msanii kazi.
Kafunikwa mbali sana na BEN POL
jamaa mzuri ila kashndwa ku savaivu kwenye game..
Uzuri wa msanii kazi.
Kafunikwa mbali sana na BEN POL
Mkuu naona sasa umeanza matusi,yaani Ben Po amfunike Rama Dee kwa hizi nyimbo zake za kutafsiri?...
Mkuu hebu rudi ukamsikilize tena Rama Dee ndiyo uje uongee.
Rama dee ni kati ya wasanii wanaojifanya wanaharakati lakin hawana maendeleo kutwa kupanda bajaji na bodaboda
kwahiyo jamaa hana kazi za kutosha?
Tafuta wimbo wake unaitwa "WANAHOFIA"
ushushe wap.waptrick.com nafikiri mwenyewe atakuwa amekujibu vizuri humo wewe mvivu wa kufikiri
wewe ndo unamshauri atupie nyimbo zake waptrick???? wimbo mmoja baada ya mwaka.
rama D.. namsikiliza sana na ni mkali tatizo lake anjipoteza mwenyewe ktk game ...upo.. hata kisu chenye makali cahaota kutu kisipotumika mda mrefu..
Ben hashikiki kwa sasa..... sasa kama wewe Ndo Rama D, nakuambia unapotezwa.
Dah ni ngumu kuwajua wakali wa r&b tz,
rama d
ben pol
ally kiba
barnaba
amin
dully
mataluma
dito
belle
tid
cassim
at
walter
banana
.
.
.
etc etc
kujua nan mkali kwa vigezo vya r&b ni ngumu kwasabab zifuatazo
1.Anaeitwa mkali kwenye game huwa hadumu
2.wengi wanaimba miduara,bolingo na zouk
3.ifahamike kuimba chorus sio kuimba r&b,kwani hata godzillah,gnako,joh makini,ney wa mitego wanaziimba.
Jifunze muziki itakusaidia ata unapovamia mijadala..