King of RnB Tanzania Rama D aja na bonge la collection

King of RnB Tanzania Rama D aja na bonge la collection

jamaa mzuri ila kashndwa ku savaivu kwenye game..
Uzuri wa msanii kazi.
Kafunikwa mbali sana na BEN POL

kwahiyo jamaa hana kazi za kutosha?
Tafuta wimbo wake unaitwa "WANAHOFIA"
ushushe wap.waptrick.com nafikiri mwenyewe atakuwa amekujibu vizuri humo wewe mvivu wa kufikiri
 
Mkuu naona sasa umeanza matusi,yaani Ben Po amfunike Rama Dee kwa hizi nyimbo zake za kutafsiri?...

Mkuu hebu rudi ukamsikilize tena Rama Dee ndiyo uje uongee.

rama D.. namsikiliza sana na ni mkali tatizo lake anjipoteza mwenyewe ktk game ...upo.. hata kisu chenye makali cahaota kutu kisipotumika mda mrefu..

Ben hashikiki kwa sasa..... sasa kama wewe Ndo Rama D, nakuambia unapotezwa.
 
Rama dee ni kati ya wasanii wanaojifanya wanaharakati lakin hawana maendeleo kutwa kupanda bajaji na bodaboda

Maskin naww ukute bwabwa tu,kuride ndo mafanikio?ye anaish maisha halis aliyonayo hataki shikwa t++o kama walivo kna B12 na wengneo kibao,ipo siku sara zake ztasikika nyie zubaishwen na kununuliwa vitz ya M4 afu ye anaingiz M34 kwenye wimbo wako.
 
kwahiyo jamaa hana kazi za kutosha?
Tafuta wimbo wake unaitwa "WANAHOFIA"
ushushe wap.waptrick.com nafikiri mwenyewe atakuwa amekujibu vizuri humo wewe mvivu wa kufikiri

wewe ndo unamshauri atupie nyimbo zake waptrick???? wimbo mmoja baada ya mwaka.
 
wewe ndo unamshauri atupie nyimbo zake waptrick???? wimbo mmoja baada ya mwaka.

muziki kipaji muziki burudani!
Muziki na pesa...kibongobongo haulipi mpaka ushikwe 0713 km washkaji flani majina kapuni,watu wanastruggle kila kona sio kupenda mteremko kama wasanii wa msimu fiesita,
rama d sio level za kina ben paul usijidanganye!
"NENDA KADEKI BAHARI"
 
Jamani Rama D namkubali sana huyu Kamanda akifanikiwa kuitoa aniPM mi ntamuungisha kwa CD moja 15000 niko serious katika hili wanaJF naomba aliyeleta hii thread azingatie au aniPM nimtumie namba yangu kwa mawasiliano.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hahahahahahahahahahha!...

Mkuu mm siyo Rama dee ni shabiki wake tu.Anapotezwa kivipi na ben po?!...Kisu chake hakitumii kivipi?....

Kwakweli tunatofautiana sana yaani kwa mtu kumlinganisha ben po na Rama dee kwangu haiingii akilini,ben po najua

nyimbo zake 2 tu ule wa kwanza uliomtambulisha nimeusahau na my#1 fan,huu wa juzi nilidownload nikadhani bonge la

song kumbe kataja majina ya watu tu hata sijui unauzuri gani.

Sikiliza nyimbo za Rama Dee tafuta tu album moja tu ya Chini ya uvungu wa moyo wangu uone kama ben Po hata

anaweza kugusa pale.

rama D.. namsikiliza sana na ni mkali tatizo lake anjipoteza mwenyewe ktk game ...upo.. hata kisu chenye makali cahaota kutu kisipotumika mda mrefu..

Ben hashikiki kwa sasa..... sasa kama wewe Ndo Rama D, nakuambia unapotezwa.
 
Dah ni ngumu kuwajua wakali wa r&b tz,
rama d
ben pol
ally kiba
barnaba
amin
dully
mataluma
dito
belle
tid
cassim
at
walter
banana
.
.
.
etc etc
kujua nan mkali kwa vigezo vya r&b ni ngumu kwasabab zifuatazo
1.Anaeitwa mkali kwenye game huwa hadumu
2.wengi wanaimba miduara,bolingo na zouk
3.ifahamike kuimba chorus sio kuimba r&b,kwani hata godzillah,gnako,joh makini,ney wa mitego wanaziimba.
 
Jifunze muziki itakusaidia ata unapovamia mijadala..
 
Dah ni ngumu kuwajua wakali wa r&b tz,
rama d
ben pol
ally kiba
barnaba
amin
dully
mataluma
dito
belle
tid
cassim
at
walter
banana
.
.
.
etc etc
kujua nan mkali kwa vigezo vya r&b ni ngumu kwasabab zifuatazo
1.Anaeitwa mkali kwenye game huwa hadumu
2.wengi wanaimba miduara,bolingo na zouk
3.ifahamike kuimba chorus sio kuimba r&b,kwani hata godzillah,gnako,joh makini,ney wa mitego wanaziimba.

kueleza kitu mpaka ukaeleweka ni kazi kwelikweli!
NI HAYO TU
 
Rama D huwezi kumfananisha na huyo dogo Ben Paulo wala na mbana pua yoyote hapa Bongo...

Rama D ni level nyingine kabisa.
 
JULY 25, 2017
Dar-es-Salaam, Tanzania

Banye - Brown Colour (Official Music Video)
Banye The R&B Finest New Song "Brown Colour" is the 1st official release after representing Tanzania twice on Maisha Superstar(2014) in Kenya and Tecno Own The Stage (2015)in Nigeria.

Video directed by : Ivan
Written by : Hemed PhD
Produced by : Manecky AM Records
Mixed & Mastered by : Chizan Brain B Records
Source: Banye Loverance
 
Back
Top Bottom