King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako

Endeleen kumpa promo
wabongo huwa wanafikiri kumtukana mtu ndio kumuondoa kumbe wanazidi kumpa promo. Huyo jamaa ana tag la wanawake kibao wanaoenda kufanya mazoezi, na wanawake wengi ni wenye vipato vya kati na juu. Pesa anayokusanya hapa ni kufuru! Acha apige kazi na kuzikusanya akishamaliza hiyo minyama atafanya mazoezi na atarudi kwa umbo la kiume
 
Ndivyo alivyo angalia kalip Lake sio la mviringo ni la kubateka upande, kigodoro hakipo hivyo.

Pia huyu kaumbwa hivyo sio mazoezi ndio yamemfanya kama mimi niwe chikonda alafu nianze content za mazoezi ya kujikondesha
 
Katika hali ya kawaida alitakiwa kuwafikia watu wa daslam hayo ndio yao, sasa huko kwa wadudu sijui imekuaje......aaahh au kajua mkuu wa mkoa nae ni king of skwat???😹
Uyo dogo amealikwa sio event yake ila wamemuingiza choo ilibidi akatae
 
King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako
Huyu jamaa kwa squats anazopiga angekuwa anafumuliwa mlima lazima lava na ash zingetoka kwenye mlima squat ni kelele
 
Hapa sio Tz. Acha kutuzalilisha...
😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…