King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako

Jamaa bongo hajapata hata watu kama walivyokuwa wanampamba mitandaoni. Naona vikundi vyake ni watu 20 au 15 tu.
Alijua atajaza uwanja wa taifa.
Naona wengine wanafanya mazoezi wamevaa jeans.
 
Katika hali ya kawaida alitakiwa kuwafikia watu wa daslam hayo ndio yao, sasa huko kwa wadudu sijui imekuaje......aaahh au kajua mkuu wa mkoa nae ni king of skwat???😹
Uchokozi mwingine huwa mnaanza wenyewe mkitekwa mnaanza kutusumbua hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…