King Rover: Billionea kijana mwenye madharau Dar es Salaam anayekimbiza Bongo nzima

King Rover: Billionea kijana mwenye madharau Dar es Salaam anayekimbiza Bongo nzima

Jf burudani sana. Kwa hiyo selaa ni shosti. Hahahaa atajuta akipita hapa.
 
halafu huyu siyo yule dogo ambaye amepangiwa nyumba na yule jama wa Masoko pale Voda..?
Mungu uwasemehe hawa wapenda vya mtelemkooooo mpaka wanachakaza malinda

Kweli bwana...jamaa anatia shaka sana
 
Lipia tangazo dogo huyo ni nani?mbona hatambuliki?labda aende iringa na songea ndio ukamwite bilionea ila sio kwa dar es saalam👐
 
Wenye pesa zao hua ni kimyaaaa,hawana makelele sasa huyu hata hatumjuii pesa za sembe hizoo zinamzuzuaaa,,kina Bakhresa, Mengi wasemejee au wakitaka kupiga picha pesa zao si tutakufa jamaniii,,,utoto huyo unamsumbuaaaa
 
Lipia tangazo dogo huyo ni nani?mbona hatambuliki?labda aende iringa na songea ndio ukamwite bilionea ila sio kwa dar es saalam
Pitia page yake ya instagram ndo anavyojiona hivyo kwamba yeye ni bilionea
 
Wenye pesa zao hua ni kimyaaaa,hawana makelele sasa huyu hata hatumjuii pesa za sembe hizoo zinamzuzuaaa,,kina Bakhresa, Mengi wasemejee au wakitaka kupiga picha pesa zao si tutakufa jamaniii,,,utoto huyo unamsumbuaaaa
Sasa atawapataje na nyie warembo mnavyopenda mteremko mkiona mambo hayo chupi zinalowa. Hamkawii kumuundia mkakati wa kumchuna. Huyo Mengi mwenyewe mlimuundia mikakati mpaka mkamzalia mapacha na ubabu wote ule hivyo vitoto atavilea lini?
 
Pitia page yake ya instagram ndo anavyojiona hivyo kwamba yeye ni bilionea

Ushamba tu akitumwa na tajiri wake kupeleka fedha bank anapiga nazo picha then anaenda uswahilini kujiita bilionea ni uzuzu tu ngoja akuwe kuwe amiliki hata mil 50 za kwake ataacha tu😼
 
Kwani kuna bilionea mwingine zaidi ya Le Mbururaz mtoto wa waziri mkuu mstaafu mtoto wa mbebez u know!

mie mwenyewe nimeshangaa kwamba kuna mtu kamshinda le mutuz kwa pesa.......

inawezekana huyu kijana kamwomba le mutuz apige picha na hela zake.......auze sura ......
 
Attachments

  • 1414774083761.jpg
    1414774083761.jpg
    37 KB · Views: 1,470
Alishapitia jesh??
 
Attachments

  • 1414774767061.jpg
    1414774767061.jpg
    49.3 KB · Views: 1,487
Back
Top Bottom