King Rover: Billionea kijana mwenye madharau Dar es Salaam anayekimbiza Bongo nzima

King Rover: Billionea kijana mwenye madharau Dar es Salaam anayekimbiza Bongo nzima

Hebu funguka vizuri bwana....ila mbona anaonekana mlaini tu tokea hapo...?!!!

Pitia ule uzi wa Mharami aka Chonji wadau wanasema, kosa lililowafanya washughulikiwe pia ni kuhusu issue ya huyu dogo aliwarusha mzigo jamaa wakatatua Marinda rumour has it kwamba alkuwa mtoto wa general bilionea
 
Alishapitia jesh??

halafu hili punga lipo jf pia angalia katika notification juu hapo ipo ya jf pia na ndio akina chonji walimlamba ndogo akaenda kusema kwa baba ambae ni shimbo nadhan ishu ikabumbuluka
 
siwezi kulitumia jina la mungu (kuapa )ili kuthibitisha muono wangu kuhusu huyu kijana ila shaka sina sababu dalili zote kwa uthibitisho wa hizo picha kuwa ni (wimbo wa msafiri kondo )solo thang.
 
Pesa zote alizopiga nazo picha hazifiki milioni 50/mali zote..kwa kuangalia background ya picha alizopiga hazifiki million 200..kama ukijumlisha jumlisha bilion haifiki BOB ..hamna kitu hapo..angali bustani..kistuli..bilionaire stuli ya elf.15...poa naona ulikuwa unatania
 
Bilionea ana le mtindiz mbona atakuwa hana muffler huyu
 
Huyu namfaham nimesoma nae shule moja japo nilimnzidi vidato na nimekaa nae maeneo ya kipunguni mda mrefu sana,kweli baba yake ni mwanajesh mstaafu sijui cheo chake basical
huyu hela sio siri anazo nyingi sana ila sasa anapopata ndio mtihani haiko wazi kuna kipindi alikua us,australia,japan na china huko alikua anatutumia picha anaendesha gari za thamani kama lambogin ferari na bently au hata boti za kifahari kutokana a ubish wetu kua picha zile umedit akawa anatutumia hadi video ,,na hata akirudi tukienda bar anakaa na madem warembo hakuna mfano wake tena zaid ya watatu madem ambao maisha yao thamani yake ni 1000 dollar life style
 
Duh.. Aisee kumbe marinda yana thamani kiasi hicho? Anyway one day watamtoa utumbo
 
Yaani huyu pesa hana wenye pesa utaona tuu unapishana na semi trela limeandikwa namba 1600 kudadeki ndo utajua pesa manake nini. Yaani huyo akishika pesa anakasirika huyu anafurahia loooh.
 
Bakhressa?Mengi? Huyi ni mtoto wa generali gani sijui

Bilionea ni mtu mwenye Dollar Bilioni moja na kuendelea. Rostam pekee kwa Tanzania ndio mwenye hizo hela kutokana na forbes.

dah mkuu rostam mchukulie mwarabu tu asili yake uarabuni huko

Asili yake ni Mwarabu ila ni ana uraia wa Tanzania na anafanya shughuli Tanzania
 
pamoja na kumtukana kote uku nimesoma hadi page ya 5 sijaona description za huyu jamaa ina maan ni kweli hakuna anayemjua labda uyu aliyeleta post amtambulishe!!! serious ktk viwanja wanaoenda watu wenye pesa hapa dar huyu jamaa hatii maguu sasa hatujui izi pesa anaedna tumia wapi!!
 
Pesa ni kama mimba haijifichi,huyu ni limbukeni flani asiye na mbele wala nyuma,wenye pesa kama kina Mengi,Baharesa,manji,dewij huwezi kukuta wanafanya ujinga kama huu sababu pesa wanayo,sasa huyu ni mbulula tu anatafuta cheap popurality.
 
Back
Top Bottom