King Rover: Billionea kijana mwenye madharau Dar es Salaam anayekimbiza Bongo nzima

King Rover: Billionea kijana mwenye madharau Dar es Salaam anayekimbiza Bongo nzima

Yaani huyu pesa hana wenye pesa utaona tuu unapishana na semi trela limeandikwa namba 1600 kudadeki ndo utajua pesa manake nini. Yaani huyo akishika pesa anakasirika huyu anafurahia loooh.

Kweli bhana kuna watu wana semi trailer 5000 halafu wamekaa kimya tu.
 
halafu hili punga lipo jf pia angalia katika notification juu hapo ipo ya jf pia na ndio akina chonji walimlamba ndogo akaenda kusema kwa baba ambae ni shimbo nadhan ishu ikabumbuluka

Hizo notifications ni za mleta maada alivyokua ana screenshot hizo picha from insta page ya huyo jamaa
 
Acheni tamaa ridhika na ulicho nacho mungu alichokubarikia wala hanisumbui maana hana msaada kwangu
 
Bilionea mbwa kachoka. Stuli ya kwa mama ntilie,ndevu kama brashi ya chooni,kuoga inaonekana mtihani kwake, mchafuuuu lo!!.
 
attachment.php

Ana SMG kama la malima.
 
Huyu jamaa bwana sio mtu mzuri luna siku alituita kwenye bar moja inaitwa java tulikua watu kama 9 hiv akatununuliwa henken then alikua anaongoza nyingine kila ukimimina funda moja ikabidi tukimbie kusalimisha maisha yetu maana angetuua that day nilikunywa kama kum na nane kwa kumbukumbu zangu
 
Hehehehe madawati mangapi angenunua shule za vijijini apo akatia heshima kijijini na sio bar tna ya mujini na bado akaambiwa tabia yake sio nzuri hahahaha
 
Hawa Ndio mabilionea wa Arusha mtu akimiliki boda boda nakaduka ka ujenzi ni bilionea

huyo limbukieni tu

mengi na bakhresa nawao waitweje?

Le Mburulaz

MstahikiMeya
 
Hawa Ndio mabilionea wa Arusha mtu akimiliki boda boda nakaduka ka ujenzi ni bilionea

huyo limbukieni tu

mengi na bakhresa nawao waitweje?

Le Mburulaz

MstahikiMeya

Sasa Arusha umeingiaje hapa. Le pimbiz, Le parataz.
 
Huyu jamaa bwana sio mtu mzuri luna siku alituita kwenye bar moja inaitwa java tulikua watu kama 9 hiv akatununuliwa henken then alikua anaongoza nyingine kila ukimimina funda moja ikabidi tukimbie kusalimisha maisha yetu maana angetuua that day nilikunywa kama kum na nane kwa kumbukumbu zangu

Wewe jamaa kwa offer tu hujambo...umewahi kusema ulipewa offer na Ali Kiba pia
 
Naona unajipigia promo .. tushakuona
 
Back
Top Bottom