Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
ngoja nijaribu kufuatilia juu ya biznez zake sababu nipo nae karibu kesho ntakuja na jibu
Wewe jamaa kila mtu unamjua... haya nenda katunge story uje utuhabarishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngoja nijaribu kufuatilia juu ya biznez zake sababu nipo nae karibu kesho ntakuja na jibu
Wewe jamaa kila mtu unamjua... haya nenda katunge story uje utuhabarishe
Hizo hela anatumia ndani kwao tu au?hii sura katika wakali wa town sijawahi kukutana nayo labda kama anaishiaga kariakoo akileta pilipili toka kilosa
Kwikwikwile mburula ana miaka 50 na usheh sio kijana tena ni le jibaba sema 2 hana utofauti na m2 mzima anaecheza komborela ujana hakulaga enzi zake hvyo ndo anapitia ujana saiz wakati ashazeka
ngoja nijaribu kufuatilia juu ya biznez zake sababu nipo nae karibu kesho ntakuja na jibu
Pitia page yake ya instagram ndo anavyojiona hivyo kwamba yeye ni bilionea
Wewe jamaa kila mtu unamjua... haya nenda katunge story uje utuhabarishe
Hizo hela anatumia ndani kwao tu au?hii sura katika wakali wa town sijawahi kukutana nayo labda kama anaishiaga kariakoo akileta pilipili toka kilosa
umesema jamaa anaitwa Raymond Ndazi,kuna Brigadier mstaafu anaitwa Ndazi sasa sijajua ndo mwanae huyu au,aliishi sana Tabora.
Tajiri ana feni ya pangaboi nyumbani