King Rover: Billionea kijana mwenye madharau Dar es Salaam anayekimbiza Bongo nzima

Wewe jamaa kwa offer tu hujambo...umewahi kusema ulipewa offer na Ali Kiba pia

ali kiba haikua ofa bali nilikua natekeleza majukumu ya kazi ila this guy namfahamu a to z we search facebook raymond ndazi utaona mabalaa yake kuna picha alituonesha anafanya sex part na wasichana wa kizungu kama kumi wote wapo uchi alafu very cute sample za amber rose flani hiv
 
Sasa hizo ndio sifa?
Le super gadem mburulazz wewe
 
Sasa hizo ndio sifa?
Le super gadem mburulazz wewe

asante , but hiko ndicho kilichotokea jamaa anastahili kuitwa billionare but sijui hela anapata wapi
 
Nasema nooo!ngumu kumesa,nadhani alinunua samaki wako woteee tena kwa bei kali au!?
 
Sasa hizo ndio sifa?
Le super gadem mburulazz wewe
Ha ha ha!Le super mburullaz kabisa,mwanaume unajisifia uwezo wako wa kupiga vizinga vya bia na viroba!!uwiii wanaume wa siku izi wanapenda vya bure hatariiii
 
Ni sheedah kwa kweli...
 
asante , but hiko ndicho kilichotokea jamaa anastahili kuitwa billionare but sijui hela anapata wapi

Fedha chafu haihesabiwi la sivo wakuu wa biashara ya uunga wangehesabiwa
 
Ha ha ha!Le super mburullaz kabisa,mwanaume unajisifia uwezo wako wa kupiga vizinga vya bia na viroba!!uwiii wanaume wa siku izi wanapenda vya bure hatariiii

sio swala la vizinga jamaa namfaham vizuri sana i kno him he kno me ndio maana nikashangaa sana kuona post yake hapa jf he call us kama home boyz wake tucelebrate pamoja sio kesi ya ofa jamaa ni real nigga hana dharau kabisa sometime anasimamisha range anashuka kwa ajili ya kuwapa hi tu
 
Basi saaawa...
 
Nasema nooo!ngumu kumesa,nadhani alinunua samaki wako woteee tena kwa bei kali au!?
amin nakwambia simpi promo lakini kafanikiwa siri anaijua yeye ila namuonea huruma sana nahisi ni ujana tu maana maisha anayoishi ni maisha ya kwenye wimbo wa chemsa bongo wa profesa jay
 
ali kiba haikua ofa bali nilikua natekeleza majukumu ya kazi ila this guy namfahamu a to z we search facebook raymond ndazi utaona mabalaa yake kuna picha alituonesha anafanya sex part na wasichana wa kizungu kama kumi wote wapo uchi alafu very cute sample za amber rose flani hiv
asante , but hiko ndicho kilichotokea jamaa anastahili kuitwa billionare but sijui hela anapata wapi
Eboh! We jamaa mbona unatuchanganya???!!! Dakika moja, unasema jamaa unamfahamu A to Z, dakika chache baadae, unashangaa sijui hela anatoa wapi!!!! Mtu unayemfahamu A to Z ndo utashindwa kufahamu michongo yake? Unamfahamu au unamjua?
 
namjua alipozaliw, kusoma, kuish na yeye namfaham vyema ila kila mtu kwenye maisha ana siri ,wengi town wanaendesha magari lakin yalipopatikana mpaka leo ni siri yao mtu atakuruhusu ujue kila kitu lakin sio password ya maisha yake kwa mfano rostam aziz ni tajiri sana unaweza kuniambia anapata wapi pesa kuna kampuni yake hata moja unayoifaham au hata biashara yoyote ile unayoijua kwa hiyo inabaki kua siri yake mwenyewe ,
 
Mbona RA biashara zake zinafahamika hapa mjini? Na mbona watu kibao wanafahamu kwamba ni kupitia hizo biashara zake ndimo humo anamopigia deal zake za kifisadi! Usitake kuniambia kwamba hata Caspian ulikuwa hujui ni ya RA! Usitake kuniambia kwamba RA alikuwa na hisa kibao pale Voda kabla hajaziingiza sokoni miezi kadhaa tu iliyopita!
 
ngoja nijaribu kufuatilia juu ya biznez zake sababu nipo nae karibu kesho ntakuja na jibu
 
Le Mutuz kapata mpinzani, Le Mutuz yeye anatangaza za Mosha sasa sijui huyu bwana mdogo anatangaza za nani... Lakini ukishaona mtu kaletwa JF alafu hakuna anayemjua basi ni mashaka makubwa.. Labda kweli huwa anaishiaga kariakoo akileta pilipili kutoka kilosa :A S wink:
 
Raha jipe mwenye usingoje kupewa acha atumbue wakati anatafuta nyie mlipenda zaidi kitanda
 
Back
Top Bottom