King Rover: Billionea kijana mwenye madharau Dar es Salaam anayekimbiza Bongo nzima

King Rover: Billionea kijana mwenye madharau Dar es Salaam anayekimbiza Bongo nzima

Hahahaa! haya maneno yenu huku mnayafahamu wenyewe yani mnamaneno dah!
 
Nimesoma hii thread mpaka mwisho sijaona jina halisi ya huyu jamaa wala majina ya wazazi wake,isiwe hela escrow.
BAK MANI Elli Shark King Kong III Pasco

wakuu hamna mwenye details za huyu bwana,dalili za escrow hizi
 
Last edited by a moderator:
Mmmh! anapenda sifa tu huyo mtoto, kamaliza certificate KIU Dar College mwaka juzi. Ana mambo ya kike kike na anapenda sifa balaa, ana range rover nyeupe ya babake anampeleka kwenye mishe na kumfata, muda hayuko nae ndio anazura na hilo gari na anatembea na panga, akiwa na babake mdogoooooooooo kama priton. Anapenda kujishow na watu walikuwa hawampendi anataka ustaa kwa nguvu na mkizinguana anakimbilia panga,aliendaga nje kwa bro wake akarudi na picha kila mtu kamuonyesha!hana lolote kwao pugu huko kama sio chanika, aende zake huko, yupo yupo tu kama kuku wa kuchora
 
Kuna Bilionea mmoja tu Tanzania nzima
Rostam Aziz,

Inawezekana MIMI ndiye Tajiri zaidi Hapa Dar ! Kwani fweza nilizonazo ni zangu mwenyewe 10m! Zote za halali. Hakuna hata sent moja ya wizi , ufisadi wala dhuluma!
 
Nimesoma hii thread mpaka mwisho sijaona jina halisi ya huyu jamaa wala majina ya wazazi wake,isiwe hela escrow.
BAK MANI Elli Shark King Kong III Pasco

wakuu hamna mwenye details za huyu bwana,dalili za escrow hizi

Acha kumpaisha mpumbavu, Escrow ni michezo ya watu waliokwenye systeam, huyo pimbi labda kama ni punda sawa.
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana MIMI ndiye Tajiri zaidi Hapa Dar ! Kwani fweza nilizonazo ni zangu mwenyewe 10m! Zote za halali. Hakuna hata sent moja ya wizi , ufisadi wala dhuluma!

Na mim ni wa pili na mil 9 zote ni halali hakuna hata sent moja ya wizi, ufisadi wala dhuluma
 
Nimesoma hii thread mpaka mwisho sijaona jina halisi ya huyu jamaa wala majina ya wazazi wake,isiwe hela escrow.
BAK MANI Elli Shark King Kong III Pasco

wakuu hamna mwenye details za huyu bwana,dalili za escrow hizi

Kuna post wamemtaja jina lake,kwa kifupi nilivyoelewa dingi yake alikuwa mkubwa flani hivi jeshini,na kuhusu mpunga jamaa hana kitu si unajua wabongo akipata 20m naye anajiona ana fedha.
 
Last edited by a moderator:
Yani kimuonekano kama wale majambazi waliopora pale kigogo wiki iliyopita. Mmoja alikua anaendesha pikipiki yupo kama hivyo.
 
Mwenye pesa hajioneshi huyo anapesa za kubadilisha mboga tu atulipie deni inayo daiwa serikali ndo tujue kweli anapesa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Akwende zake kama ana hela ndio aziringishie huko kwenye Mitandao ya kijamii

aache kupiga mayowe
 
lione kama litanunua na uhai vile kanuue roho usife ndio tutakuona we bilionea pambafu wee
 
Back
Top Bottom