King Tutankhamun; Roho ya Farao (Mummy) iliyowamaliza watu kwa laana yake kali.

Dooooh!!
Mimi ni mama mkuu!!
Sioi!
Humble African hili jukwaa kweli la TMK.
msitufanyie hivyo hahahahaha
 
Hapo kwenye moyo kufikiri,mi nawaunga mkono at some point!

Kipi huanza brother!
Fikara au maamuzi!
As in naanza kufikiri kuamua
Au naanza kuamua kufikiri?

Mi naamini
Fikara ni ya akili!!
Utashi ni wa moyo!!

Au!?
 
Hapo kwenye moyo kufikiri,mi nawaunga mkono at some point!

Kipi huanza brother!
Fikara au maamuzi!
As in naanza kufikiri kuamua
Au naanza kuamua kufikiri?

Mi naamini
Fikara ni ya akili!!
Utashi ni wa moyo!!

Au!?
Hata sisi waswahili tunakosea kuamini moyo kazi yake kutunza hisia na vitu kama Hivyo...!

Moyo una kazi moja tu mwilini..kusukuma damu.. Vingine tunavyovihusisha navyo ni sound kama za Misri ya kale na imani yao kwenye moyo kuhusika na kuwaza Na kufanya maamuzi.

Imbecile!
 
History ya Africa imesheheni mengi japo wazungu wanajitahidi kupotosha ndo mana hata mitume na manabii wa kale huenda walikuwa blacks
Its the one with pen who control the story.

Wazungu waliimiliki pen na ndio maana wame control story yote ya Dunia iwe wao wanavyotaka na kuwa favour zaidi wao zaidi.
 
Hahahahaha hii imbecile nimeisikia kwa sauti ujue!!
 
Unajua wewe unamiliki mwili wa kike ila akili ya kiume ndio maana jamaa anakutoa j sisters anakuweka TMT. [emoji23] [emoji23]

Simply brainiac!
My baaad!!
Sentensi ya 3679533 kutoka kwa watu 7865333 kuhusu hii.
Wakati ni
Boooonge la fala mmoja kuna jamaa ananiburuza hadi najionea huruma.
 
Its the one with pen who control the story.

Wazungu waliimiliki pen na ndio maana wame control story yote ya Dunia iwe wao wanavyotaka na kuwa favour zaidi wao zaidi.
Very true!
Hawaandiki kabisa kuhusu wao kuwa weusi nasi kuwa weupe kwa tafsiri yao.
 
Shukrani mkuu!

Tuko pamoja sana JF ndio darasani kwetu sote na kila mmoja ni mwalimu na mwanafunzi kwa wakati mmoja. Asante!
Mkuu kwahiyo kwenye ile sehemu ya nje kabisa ya kaburi, palikuwa pamejifukia kiasi kwamba hata yale madirisha na mlango vilikuwa havionekani au ni vipi!?.
 
Mkuu kwahiyo kwenye ile sehemu ya nje kabisa ya kaburi, palikuwa pamejifukia kiasi kwamba hata yale madirisha na mlango vilikuwa havionekani au ni vipi!?.
Ndio hivyo mkuu...ndio maana iliwachukua miaka mingi kugundua King Tut alipolala maana usawa wa kaburi ulikuwa sawa na urefu wa hicho kifusi na tena bado mwamba ukachimbwa deep down the semipermeable Rock.

Haikuwa kazi rahisi kutrace makazi ya milele ya king Tut
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…