King Tutankhamun; Roho ya Farao (Mummy) iliyowamaliza watu kwa laana yake kali.

Bro umetisha. Vizuri sana
 
Daahh story imetulia sana haichoshi kusoma..
Kongole kwako mkuu,
ngoja niirudie tena[emoji3]

Hivi cleopatra nae si alikua kiongozi wa misri
Alikua miaka ya baada au kabla ya yesu? Nae mwili wake upo? Nasikia alikuwa kisu balaa[emoji3]
lakini hakua na takoooooooooo
 
Mkuu@HumbleAfrican hongera kwa kutuletea hadithi hii ya kihistoria iliyojaa tashwishwi,mara nyingi nimekua nikifuatilia post zako kabla hata ya kujiunga humu.
Tafadhali Ukiweza uwe unanitag kwenye mada zako ili nisipitwe mkuu,
Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daahh story imetulia sana haichoshi kusoma..
Kongole kwako mkuu,
ngoja niirudie tena[emoji3]

Hivi cleopatra nae si alikua kiongozi wa misri
Alikua miaka ya baada au kabla ya yesu? Nae mwili wake upo? Nasikia alikuwa kisu balaa[emoji3]
Cleopatra hakua kiongozi bali aliuwa mwanake smart sana. Aliweza kuwa mke was waflme watatu tofauti walioitawala Misiri. Mfano Mkaka, Kikwete na Magu wote awepo mwanamke mmoja ndo first lady.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Be blessed naomba nitag na mimi kwenye nyuz zako.
 
siri zipo hapa gusa hapa Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
 
Muheshimiwa Humble Africa nakushukuru sana kwa kuwa nami nimepata elimu japo huwa napita kimya kimya bila comment, historia ya Misri kiukweli inasisimua sana nami huwa napenda mambo kama haya. Sasa naomba kujua hawa Mafaraoh walikwama wapi mpaka utawala wao ukafutika, ilikuwaje, nani aliwaondoa hapo na vipi kuhusu hawa waarabu waliopo sasa Misri walitokea wapi hadi kufika hapo? Ahsante.
 
Dah! Kuna watu mko vizuri! Big up mtoa mada 👊👊👊!!
 
Aleppo hii ni kweli maana King Tut alizikwa na mke wake ambae alikuwa ni Dada yake aliekuwa na mimba kubwa.

Zamani kulikuwa na vituko sana.

Umesema alikuwa kijana wa miaka 9 if I’m not mistaken, how can he capable of making pregnant?
Just curiosity Mkuu
 
We jamaa ni muandishi haswaa ningependa uandike kuhusu ujasusi siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…