Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Labda utawala wa chama dola uondolewe, other wise hakuna kitu kama hicho
Si lazima. Idea time yake ikifika huingiaga tu. Hata ujaribu kuipinga itafanyika. Idea haiangalii chama wakati unapofika.
 
Mkapa unamuacha wapi?
Msitaje majina. Vuongozi ni wa aina tofauti. Kuna Mawaziri wa zamani labda. MABALOZI, Wakuu fulani waliokuwa wakisikamamia ABCD. iDEA IKIFIKA HUFAGIAGA na haijali.
 
Msitaje majina. Vuongozi ni wa aina tofauti. Kuna Mawaziri wa zamani labda. MABALOZI, Wakuu fulani waliokuwa wakisikamamia ABCD. iDEA IKIFIKA HUFAGIAGA na haijali.
Umeandika vitu gan hapo
 
Umeandika vitu gan hapo
Pole mkuu,niliweka na lugha yangu. yaani utafsiri wa moja kwa moja.
Kwa kifupi. WOTE waliojitajirisha KIFISADI.
Leo hii BINTI wa rais Mstaafu Dos Santos wa angola ambaye ni tajiri sana ANACHUNGUZWA na mkuu wa mashtaka ya serikali bila KUJALI kama baba yake alikuwa ni RAIS au la!
Kuhusu UFISADI wa Mafuta ambayo Angola hutegemea 95% ya mapato yake hutegemea mafuta. Hebu tungoje wimbi hili linavyovuma.
 
Nmekusoma
 
Muulize Lowasa alipoanzisha mtandao alikuwa anaitakia nini nchi hii,
Na kashindwa mtandao akamnunua mbowe a.k.a. Jim kill ill mbowe.... Shida ikaanzia hapo chagadema wote wakaugua akili na sasa ni mabingwa wa matusi, copy and challenge and so... So.....[emoji324] [emoji2]
 
Sina hiyo access na wala sio mfuasi wake .

Vv
 
Mkuu sijajua kwani jina la chama hicho sasa CHAGADEMA?
Kuna mambo mitandaoni. Hilo ni jipya kwangu.
 
Wachaga dema wanaamini wao ndio bora kuliko yeyote asiye wao, nyie was****** hivi nchi iliyogawanyika ikoje?
Walimu wangapi wanafanya kazi nchi nzima bila kujali who is who and from which party of the country brings his mothelaland.
Polisi wangapi wanafanya kazi popote bara na visiwani bila kinyongo (uzalendo)
Kila idara ya umma nchini Tanzania imewakusanya watanzanzania woooote bila kujali ujinga wa chagadema.
Sasa nyie wauza chama kazi yenu imebaki hizi propaganda za bilicanas alipokuwa akiuza K Huyu mange Kimambo wenu.... Ole wenu[emoji324]

Chonde chonde msivute bangi zenu na kutuharibia amani na utulivu na uzalendo wa nchi hii... Pambaneni na hali zenu..... Ohoooooo!
 
Duh! Naona huo ni msomo mkali.
Sijui kama atakujibu.!!
 
upinzani ukishika dola Tanzania ex president atakayepona kibano labda ni mzee Ruksa pekee.
 
Lula was very smart President,but Sheria Ni msumeno wacha apambane na Hali yake
Smart but power went into his head. And thought that the country was his. And thus thought he could make easy money.
Kwa bahati mbaya the LAW has caught up with him. ALL his smartness has come to naught!!
 
Lula was very smart President,but Sheria Ni msumeno wacha apambane na Hali yake
Yes he was a smart President but corrupt.. He allowed power to get into his head thinking he could easily make quick money through corruption.
Unfortunately the law has caught up with him.
UFISADI nimbaya sana.
 
upinzani ukishika dola Tanzania ex president atakayepona kibano labda ni mzee Ruksa pekee.
Makosa kama yapi na ni WOTE? na Mawaziri na wasidizi wao ndo unavyotaka kusema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…