Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Wakati wengine walivyopambana kuukataa hizi sheria za mwendo kasi,za hati ya dharura mlijidai kutokuwa na habari sasa zinatumika vibaya mnjidai kukurupuka kutoka usingizini,🥱Kama huijui sheria basi tumia tu hata uzoefu wako wa kuishi nchini Tanzania
Uzushi mwingine ni wa kipambaf!
Jumaa kareem