Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Hii ni sheria inayofaa Africa hasa TZS ambako mihimili kazinyao ni kufisidi na kujichotea raslimali za nchi na kukandamiza wengine kwa kisongizio cha kishetani eti uzalendo..



Eti mtu asiye na akili km lile liapika na naibi wake wanapewa kinga ya kutoshitakiwa.....
Laana ya ccm inaangamiza hii nchi
 
Habari wakuu!

Mimi ni raia mwema wa nchii hii ya Tanzania.

Kuna Rais mstaafu pia ni marehemu ninataka kumshitaki.

Najua katiba yetu inatoa kinga kwa Rais pindi awapo madarakani na akistaafu pia, sijui kama ile kinga anakuwa nayo hata baada ya umauti. Kama ile kinga inaisha pindi anapofariki basi nitamshitaki kwa kosa la kushindwa kuilinda katiba au kwa kosa la kushindwa kuwalinda wananchi.

Mfano: Watu wamepotea , kuuwawa na wengine kutekwa kipindi cha uongozi wake lakini hajawahi hata kulaani, kukemea au kuwawajibisha aliowapa kazi ya kuzuia vitendo hivi.

Kwa ufupi naweza kumuhusisha na vitendo hivi haramu

Nitamshitaki ili mahakama itutafsirie kama atatiwa hatiani au la!

Ok
Aisee
 
Sep 6, 2017

Mbunge Hussein Bashe ametaka Katiba ibadilishwe na kinga za Marais kuondolewa, kwani kinga ndio huwafanya kufumbia macho baadhi ya vitu.

Ndoto yangu ni kumpata Bashe siku moja na kumuuliza tena swali kuhusu huu msimamo wake. Tuendelee kupata Case studies za viongozi wa kitanzania. Leo tukimuuliza Bashe kuhusu mabadiliko ya katiba sijui atatujibu nini.
 
Kinga ya kutokushtakiwa ndo utufanya tuzidi kuwa masikini.Mwajiriwa yeyeto anapokiuka miiko na taratibu za Kazi ni lazima awajibishwe iweje sasa.Wengine wawekewe kinga
 
"yule mwamba alikuwa hafuati Sheria Sawa"

Ujasusi wa kidola haufuati sheria yeyote ile Bali ujasusi wa kitaifa!

Ujasusi wa kidola una operate above the law!unafanya chochote kile kulinda dola hata kuua,kuteka n.k

Kea hiyo hata mama anacho kikosi kazi chake kinachomsaidia kulinda dola nje ya sheria sema operation zake zinatofautiana na mwendazake!

KILA Rais anacho!

Kumbuka you hapa;-

"Japo alinyanyua mikono juu vyuma vilipenya"!

Yaani alipigwa shaba hata kama alijisalimisha !hivi maana yake alihatarisha usalama wa Dola!!

Someni Sana mjue mambo katika NCHI hii!yapo wazi humu humu jukwaani!!!
 
Alikuwa ameshaanza kuwatukana kuwa wanawashwawashwa.

Yule jamaa alikuwa haaminiki, angeweza kufanya lolote kwa mty yoyote na alitamka haya maneno mwenyewe

Kumbuka huyu ni Rais pekee aliyeanrisha mbunge auawe kwa kupigiwa risasi nje ya bunge
 
Mpumbavu mmoja kabendera kwaio alitaka tufanyenye na mwendazake kaenda zake
 
Yule jamaa kuwa na kundi lake la kihalifu la wasiojulikana nje ya mfumo rasmi wa kiserikali mbona lilikuwa ni jambo ambalo lilikuwa lipo bayana. Nani ambaye hakushuhudia kutokutii kwake kwa matakwa ya katiba, sheria na kanuni, zaidi ya matamko yake mengi yenye ukakasi mwingi.

Matendo yake yanathibitisha uwezekano wa uwepo wa jambo hilo. Kama aliweza kudukua maongezi ya viongozi wastaafu, angeshindwa nini kuwafanya chochote kutokana na kiburi cha mamlaka makubwa ya kikatiba aliyokuwa nayo.

Mimi nafikiri, ili watu wasizidi kutoa machungu yao juu ya mtu huyu, ni vyema nyuzi zote juu yake ziunganishwe kwenye uzi mmoja tu. Ni lazima povu juu yake litatoka.

Kwa yale aliyowafanyia Kabendera, Lisu, Ben Saanane, n.k. unafikiri wote hawa wanaweza kuwa na kumbukumbu nzuri juu yake!? Yeye aliamini kuwa msema kweli ni mpenzi wa Mungu, kwa hiyo basi acha watu waongee ukweli wote juu yake.
 
Jiwe alikuwa afuati katiba wala sheria ,kabendera ana ushahidi wote,Jiwe angemfunga kweli msoga ,wewe aujajiuliza kipindi chote cha jiwe ,rizmoko alikuwa kimya hakuinua mdomo kabisa...Jiwe alimtukana kabisa msoga kwamba anawashwa washwa hadi kina hapi nao wakamtukana msoga aujajiuliza?
 
Back
Top Bottom