Najiuliza sana hili swali;
Kama viongozi wa juu (Rais, Makamu Wa Rais, Waziri Mkuu, Speaker Wa Bunge) wanajijua kwamba wao ni wasafi na wamejitoa kwaajili ya taifa letu, pamoja na kujitapa kwamba wao ni Watetezi Wa Wanyonge.
Sasa kipi hasa hasa kinachowafanya waogope kushtakiwa?