King'amuzi kinahitajika Mwanza

King'amuzi kinahitajika Mwanza

mr man city

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
467
Reaction score
319
Nashida na king'amuzi cha dstv used.fulk set. Nipe bei yako. Nipo Mwanza,Malimbe maeneo ya chuo cha SAUT
 
Duuh nilikua naitupa dekoda yangu bei ya kipuuzi, sababu ya kuiuza ,niliisajili kama king'amuzi cha biashara ( banda umiza) ,sasa nimefunga na dstv hawaruhusu tena kutoka mfumo wa biashara ambao ni 28elfu kwa 81 elfu kwa mwez kuja mfumo wa matumizi ya majumbani.
Nikaamua kukitelekeza na kudaka kingine kwa atakayehitaji kitamfaa .
ONYO ULIPAJI WA 28 NI LAZIMA UWE UMESAJILI DEKODA MBILI NA ZOTE ZILIPIWE KILA MOJA (28) ELFU HIVO NIMEAMUA KUKITIA UVUNGUNI
 
Hicho kitamfaa mtu wa biashara kama baa au banda umiza.
 
Me ninacho sema Niko bwanga wape hi sana hapo marimbe Kwa mzee Ally pia wape Salam nyamalango shule Kwa matanyanga
 
Kwani ukichukua kipya kuna shida gani.
Maana hata hicho used sidhani kama utapata kwa bei chini 50k. Plus kifurushi utakacho lipia, huoni utarudi pale pale kwenye 79k yao ambayo unapewa na ofa ya kifurushi cha juu bure kwa mwezi mzima.
Kupanga ni kuchagua.
 
Kipo mkuu. Kuna dalali anavyo kama vi5 hivi. Mimi ameniambia nimpe 45 full set na mawaya yake kila kitu. Chini ya hapo atanipa chenye matatizo.kwahiyo nikaona nicheki kama kuna vingine chini ya hapo. Na kifurushi ninachotaka ni kile cha family tu. Chanel za mipira mimi natumia cable tu. Dstv ni kwaajili ya familia waangalie tamthiliya hizo
 
Haha...umesoma SAUT nn mkuu..mbona chocho zote unazijua.
Napajua sana mkuu kote huko mpaka kimkumaka njooo Kwenye nguruwe Vuka upande wa KUELEKEA ziwani kabula ya kufika nganza kati Kuna Mzee Kwa Sasa nasikia alishapumzika wanamwita Mzee pomoni RIP KIFUPI MWANZA NAIJUA MKUU
 
Mimi nimekaa sana nyamalango...ila sasa nipo sweya hivi nimejichimbia. Nikila dagaa na samaki mara moja moja. Maana nazo hazishikiki. Ila mwanza nzuri bana.

Kuna rafiki yangu hapo sweya msalimie sana anaitwa ERASIMI NI mchaga mfanya biashara hapo sweya njia ya KUELEKEA nsumba sec
 
Duuh nilikua naitupa dekoda yangu bei ya kipuuzi, sababu ya kuiuza ,niliisajili kama king'amuzi cha biashara ( banda umiza) ,sasa nimefunga na dstv hawaruhusu tena kutoka mfumo wa biashara ambao ni 28elfu kwa 81 elfu kwa mwez kuja mfumo wa matumizi ya majumbani.
Nikaamua kukitelekeza na kudaka kingine kwa atakayehitaji kitamfaa .
ONYO ULIPAJI WA 28 NI LAZIMA UWE UMESAJILI DEKODA MBILI NA ZOTE ZILIPIWE KILA MOJA (28) ELFU HIVO NIMEAMUA KUKITIA UVUNGUNI
Ngosha zungumza na watu vizuri
C380524C-BD32-4E80-B2D1-2E4B777CF2EF.jpeg
 
Back
Top Bottom