mr man city
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 467
- 319
Nashida na king'amuzi cha dstv used.fulk set. Nipe bei yako. Nipo Mwanza,Malimbe maeneo ya chuo cha SAUT
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ulishapata decoder
Sijapata mkuuMkuu ulishapata decoder??1
Hicho kitamfaa mtu wa biashara kama baa au banda umiza.Duuh nilikua naitupa dekoda yangu bei ya kipuuzi, sababu ya kuiuza ,niliisajili kama king'amuzi cha biashara ( banda umiza) ,sasa nimefunga na dstv hawaruhusu tena kutoka mfumo wa biashara ambao ni 28elfu kwa 81 elfu kwa mwez kuja mfumo wa matumizi ya majumbani.
Nikaamua kukitelekeza na kudaka kingine kwa atakayehitaji kitamfaa .
ONYO ULIPAJI WA 28 NI LAZIMA UWE UMESAJILI DEKODA MBILI NA ZOTE ZILIPIWE KILA MOJA (28) ELFU HIVO NIMEAMUA KUKITIA UVUNGUNI
Ninayo mkuu ila ipo geita ,ijumaa au J moc wik ijay nakuja mwanza kama vp tuongee tuone inakuajeSijapata mkuu
Bei yako mkuu. Maana hata hapa nilipo vipo. Sema ndio tayari vipo kwa madalali. Ila nataka kubagain chenye bei nafuu zaidi.Ninayo mkuu ila ipo geita ,ijumaa au J moc wik ijay nakuja mwanza kama vp tuongee tuone inakuaje
65k maan ni kipyaBei yako mkuu. Maana hata hapa nilipo vipo. Sema ndio tayari vipo kwa madalali. Ila nataka kubagain chenye bei nafuu zaidi.
Haha...umesoma SAUT nn mkuu..mbona chocho zote unazijua.Me ninacho sema Niko bwanga wape hi sana hapo marimbe Kwa mzee Ally pia wape Salam nyamalango shule Kwa matanyanga
Kipo mkuu. Kuna dalali anavyo kama vi5 hivi. Mimi ameniambia nimpe 45 full set na mawaya yake kila kitu. Chini ya hapo atanipa chenye matatizo.kwahiyo nikaona nicheki kama kuna vingine chini ya hapo. Na kifurushi ninachotaka ni kile cha family tu. Chanel za mipira mimi natumia cable tu. Dstv ni kwaajili ya familia waangalie tamthiliya hizoKwani ukichukua kipya kuna shida gani.
Maana hata hicho used sidhani kama utapata kwa bei chini 50k. Plus kifurushi utakacho lipia, huoni utarudi pale pale kwenye 79k yao ambayo unapewa na ofa ya kifurushi cha juu bure kwa mwezi mzima.
Kupanga ni kuchagua.
Napajua sana mkuu kote huko mpaka kimkumaka njooo Kwenye nguruwe Vuka upande wa KUELEKEA ziwani kabula ya kufika nganza kati Kuna Mzee Kwa Sasa nasikia alishapumzika wanamwita Mzee pomoni RIP KIFUPI MWANZA NAIJUA MKUUHaha...umesoma SAUT nn mkuu..mbona chocho zote unazijua.
Sawa mkuu. Acha tu nichukue huku huku. Maana ni karibia nusu ya hapo. Shukrani pia lakini.65k maan ni kipya
Napajua sana mkuu kote huko mpaka kimkumaka njooo Kwenye nguruwe Vuka upande wa KUELEKEA ziwani kabula ya kufika nganza kati Kuna Mzee Kwa Sasa nasikia alishapumzika wanamwita Mzee pomoni RIP KIFUPI MWANZA NAIJUA MKUU
Kuna rafiki yangu hapo sweya msalimie sana anaitwa ERASIMI NI mchaga mfanya biashara hapo sweya njia ya KUELEKEA nsumba secMimi nimekaa sana nyamalango...ila sasa nipo sweya hivi nimejichimbia. Nikila dagaa na samaki mara moja moja. Maana nazo hazishikiki. Ila mwanza nzuri bana.
Pamoja mkuuKuna rafiki yangu hapo sweya msalimie sana anaitwa ERASIMI NI mchaga mfanya biashara hapo sweya njia ya KUELEKEA nsumba sec
Pamoja sana tutakutana siku Moja wanguPamoja mkuu
Ngosha zungumza na watu vizuriDuuh nilikua naitupa dekoda yangu bei ya kipuuzi, sababu ya kuiuza ,niliisajili kama king'amuzi cha biashara ( banda umiza) ,sasa nimefunga na dstv hawaruhusu tena kutoka mfumo wa biashara ambao ni 28elfu kwa 81 elfu kwa mwez kuja mfumo wa matumizi ya majumbani.
Nikaamua kukitelekeza na kudaka kingine kwa atakayehitaji kitamfaa .
ONYO ULIPAJI WA 28 NI LAZIMA UWE UMESAJILI DEKODA MBILI NA ZOTE ZILIPIWE KILA MOJA (28) ELFU HIVO NIMEAMUA KUKITIA UVUNGUNI