king'amuzi

Kinavutia.
We wakala nini au unamsaidia Dokii??

mie ni mdau kwenye Sekta ya Mawasiliano, haya mambo hunilazimu kufuatilia ukiacha hilo kama Mmatumbi inanilazimu kujua haya hehehe
 
Mimi fundi vitanda, tv,radio, sofa, dish, vin'gamuzi, majiko, masufuria, ac, wiring, mabomba, mageti, gari, pikipiki, baiskeli, simu, n.k. Kama kuna atakayehtaj huduma anitafute kwa Number hii 0713800880. Email:vundiwavyote@hotmail.com.. Tovuti:www.tunatengenezachochote.co.tz.
 

mmh hukawi kuandika hata majeneza watengeneza...
 

haya fundi ntakusafta nikitaka kuunganisha dstv..... ngoja pedeshee Fidel80 linitumie hela!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…