Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Am happy to have u as my daddy!!!!
anytime princess...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Am happy to have u as my daddy!!!!
So, ukisubiri foleni la maisha mambo hayaendi sio??
Haya bana!
teh teh teh.... luv u too Kipipi
Kinavutia.
We wakala nini au unamsaidia Dokii??
Ndio linchi letu hili mamlaka za usimamizi zipo lakini ni kama joka la kibisi...
Ndo maana ukawepo JF!
Nakusubiria king'amuzi utachonunua uje kunipa feedback!
sina mkuu inataka kunipa???
Sasa je! Kuzaliwa mjin fom6 tena kuna baa jiran na geto so kujisevia 2!
mie ni mdau kwenye Sekta ya Mawasiliano, haya mambo hunilazimu kufuatilia ukiacha hilo kama Mmatumbi inanilazimu kujua haya hehehe
Nina shillingi hazina kazi si unajua wengine tusipo chunwa hatujisikii kama tupo duniani tunaishi
usijali mpnz afu ntakualika uje tukibi.ki.ri!!!!
Woooh... can't wait nakujaaaaaaaa
Mimi fundi vitanda, tv,radio, sofa, dish, vin'gamuzi, majiko, masufuria, ac, wiring, mabomba, mageti, gari, pikipiki, baiskeli, simu, n.k. Kama kuna atakayehtaj huduma anitafute kwa Number hii 0713800880. Email:vundiwavyote@hotmail.com.. Tovuti:www.tunatengenezachochote.co.tz.
Mi natumia zuku yaani ikifika usiku kuanzia saa tatu ni kustack mwanzo mwisho
Mi natumia zuku yaani ikifika usiku kuanzia saa tatu ni kustack mwanzo mwisho
Dah . . . sijui tukimbilie wapi sasa!
dah . . . Sijui tukimbilie wapi sasa!