King'amzi changu cha AZAM kinaonesha channel za Startimes

King'amzi changu cha AZAM kinaonesha channel za Startimes

incredible terminator

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
2,498
Reaction score
4,162
Habari wakuu naombeni msaada, Gafla king'amzi changu cha Azam kimeanza kuonesha Channel za startimes, ni baada ya kuishiwa kifurushi, Cha ajabu leo kiliomba ni search new channel na baada ya hilo zoez nashangaa kimecapture channel za startimes

Naombeni msaada kwa wazoefu ni king'amzi cha Anntena.

20240430_210058.jpg
20240430_210042.jpg
 
Kipo mbele ya muda kinaonesha ni tarehe 1 may saa Tisa usiku. Zima na reflesh tena
 
Mkuu tatizo hapo signal zipo chini ya kiwango boresha signal zako then ki factory default kitarejesha channel sahii za service provider husika.
 
Mkuu tatizo hapo signal zipo chini ya kiwango boresha signal zako then ki factory default kitarejesha channel sahii za service provider husika.
Nikienda kukifactory default kinagoma maana kinadesplay startimes had setting zake ko ukiingiza pascode kinagoma
 
Back
Top Bottom