King'amzi changu cha AZAM kinaonesha channel za Startimes

King'amzi changu cha AZAM kinaonesha channel za Startimes

Sio kweli nimeona hiyo desplay yake na nimefanya Sana hiyo kazi boresha signal zako kwanza then nikuoneshe pa kuki restore hiko kisimbusi chako
Changamoto hata setting kinadisplay setting kama startimes, na nikienda kurestore kinaanza na code hapo katika bar za kuingiza pasword, moja inaonekana kama imejazwa na ukiifuta haitok pia ukiweka zingine inagoma.
20240430_212050.jpg
20240430_212110.jpg
 
Hiyo ni startimes mkuu niamini mimi kaka
Mkuu hiyo display sio ya star
Ni Azam new model pure.
Fanya hivi ingiza 0000 Hadi ikupe option ya ok or cancel press upande was ok japo utaona kibox Cha kwanza kama automatic kimejijaza usifute wewe ongeza 0000 Hadi ikupe hyo option nlokwambia
Then njoo lete mrejesho tuendelee.
Startimes signal zao azionekan kwenye STB info ndugu hyo ni Azam pure kabisaaaaa
 
Je haikuandikwa kama ni moja ya ishara za ujio wa masihi,maana vita tayari tumeviona matetemeko nayo pia,tulikuwa tunaisubiri ishara moja tu ambayo ndio hiyo iliyokutokea
 
Hongera,lakini sidhani kama utaweza kuzifungua hadi uwe na decoder yao, labda zile ambazo ni FTA, ukiwa na TV ya kisasa ukiunganisha antena unaweza kupata digital channels, lkn kama ziko locked hautaweza kuzifungua utaweza kuangalia za free tu.
 
Ndio kinatokea kwang
 
Zima restart upya uone,zikirudi poa zisiporudi kalipe bill usitupotezee muda
 
Back
Top Bottom