incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Hazionesh sasa tatzo zina display ila hazionesh inaonesha star guide tu.Hiyo ni neema
Soma heading yako unawachanganya wadau, vocha za vodacom unaingiza Tigo.Hazionesh sasa tatzo zina display ila hazionesh inaonesha star guide tu.
Kuna tatzo kwanMbona leo ni jumanne
Kimechanganyikiwa, inabidi kitiwe akili upya.Mbona leo ni jumanne
Bas niseme kina display channel za startimes, ila baadhi zinaonesha kama starguideSoma heading yako unawachanganya wadau, vocha za vodacom unaingiza Tigo.
Kakipiga forwardKimechanganyikiwa, inabidi kitiwe akili upya.
[emoji16][emoji16]Kimechanganyikiwa, inabidi kitiwe akili upya.
Sasa sijakitoa ila ukiangalia hapo juu kwa Tv kuna logo ya azam tvAu mzee umewekewa mashine ya star times kwenye flemu ya azam.. [emoji23][emoji1787]
Nikienda kukifactory default kinagoma maana kinadesplay startimes had setting zake ko ukiingiza pascode kinagomaMkuu tatizo hapo signal zipo chini ya kiwango boresha signal zako then ki factory default kitarejesha channel sahii za service provider husika.
Mifuko ganichangamoto ya mifumo kutokusomana ndio kitu kama hiki sasa