King'amzi changu cha AZAM kinaonesha channel za Startimes

Sababu zote ni terrestrial, ingekua continental ipo hai pia ungepata chanell zao ambazo zilikua hazijafungwa.
 
Kama ni cha dish nakupa majibu kitaalam ,kwamba azam wapo nyuzi 7 eutelsat7c na startimes wapo nyuzi 5 ses5 kwa hiyo dish linapokuwa limekaa muda mrefu kutokana na changamoto za upepo inetegemea dish lako lilifungwa na fundi au kishoka,dish likilegea lazima litainama kidogo na kuinama litakushuka kuitafuta hiyo nyuzi 5 ilipo startimes na likishuka zaidi hada startimes zitapotea nazo.kwa hiyo nakushauri tafuta fundi aimarishe dish lako achana na ishu ya kufactory dikoda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…