October 2pm
Senior Member
- May 2, 2023
- 106
- 282
Jamhuri ya Muungano....
Kwenye usaili wa Oral Kada ya afya wengi wameboronga kwa sababu ya kingereza kibovu. Kutokujua kingereza wengi kumewafanya wasijiamini katika kujieleza.
Ndugu zetu walimu ni vizuri Siku Mbili zilizobakia kama unajijua unaongea broken English, bora ujipige Msasa kuficha udhaifu huo.
Maswali yalikuwa marahisi lakini changamoto Kwa wengi ilikuwa kujieleza Kwa ufasaha Kwa kingereza.
Mwalimu kama unajijua Somo Lako utatumia kingereza kufundishia jitahidi Sana kujinoa. Maana Broken English huku itakufanya ukandwe.
Umuhimu wa kusoma Shule za English Medium kwèñye hizi interview unaonekana.
Yule liqud anawadanganya.