Kingereza kitafelisha wengi kwenye Oral Interview. Mwalimu kama hujui kingereza ni bora usijisumbue

Kingereza kitafelisha wengi kwenye Oral Interview. Mwalimu kama hujui kingereza ni bora usijisumbue

Jamhuri ya Muungano....

Kwenye usaili wa Oral Kada ya afya wengi wameboronga kwa sababu ya kingereza kibovu. Kutokujua kingereza wengi kumewafanya wasijiamini katika kujieleza.

Ndugu zetu walimu ni vizuri Siku Mbili zilizobakia kama unajijua unaongea broken English, bora ujipige Msasa kuficha udhaifu huo.

Maswali yalikuwa marahisi lakini changamoto Kwa wengi ilikuwa kujieleza Kwa ufasaha Kwa kingereza.
Mwalimu kama unajijua Somo Lako utatumia kingereza kufundishia jitahidi Sana kujinoa. Maana Broken English huku itakufanya ukandwe.

Umuhimu wa kusoma Shule za English Medium kwèñye hizi interview unaonekana.
Yule liqud anawadanganya.
Si wanasema si lazima watoto wetu kusoma kiingereza?
Wakati watoto wao wanawapeleka shule zisizojua kiswahili.
 
Jamhuri ya Muungano....

Kwenye usaili wa Oral Kada ya afya wengi wameboronga kwa sababu ya kingereza kibovu. Kutokujua kingereza wengi kumewafanya wasijiamini katika kujieleza.

Ndugu zetu walimu ni vizuri Siku Mbili zilizobakia kama unajijua unaongea broken English, bora ujipige Msasa kuficha udhaifu huo.

Maswali yalikuwa marahisi lakini changamoto Kwa wengi ilikuwa kujieleza Kwa ufasaha Kwa kingereza.
Mwalimu kama unajijua Somo Lako utatumia kingereza kufundishia jitahidi Sana kujinoa. Maana Broken English huku itakufanya ukandwe.

Umuhimu wa kusoma Shule za English Medium kwèñye hizi interview unaonekana.
Yule liqud anawadanganya.
Ninacho kubaliana na wewe ni kimoja kuwa kuna umuhimu wa lugha ya kingereza kuwa lugha ya kufundishia kwa level zote za elimu na kweli ukienda kwenye usaili wowote hata wa utumishi utajua umuhimu wa hilo!

Lakini hili la kingereza lisiwatishe watu kabisa kwa sababu cha msingi kwenye usaili wa utumishi ni kujiamini na uhakikishe swali la kwanza unalimiliki vizuri na ikiwezekana liandae mapema itakusaidia kukupa confidence!
Maswali mengine ni kweli ni ya kujieleza na kujimwaga lakini ukiwa na ujasiri na kujiamini uwezi teteleka hata kama utakuwa na kingereza cha kuunga unga…hakikisha usikae kimya unga unga unga usikubali kunyanyua mikono unga unga hivyo hivyo hata panelist wanajua kingereza ni janga kubwa…..

Kwa hiyo usiingie upepo kuwa hujui kuongea kingereza mfululizo bali jiamini kiwezekana jitahidi kuunga point ueleweke hata kama ni broken usikubali kuwa bubu kwa kukosa cha kuongea kisa hujui kingereza usikubali kamwe kushindwa kirahisi …pambana hivyo hivyo kwa kuunga unga na wale wala hawawezi kucheka wanatoa marks tuu na ukikaa kimya au kutetemeka imekula kwako hata ukitetema we endelea kuunga unga hivyo hivyo!
Kitu ambacho unatakiwa kukiogopa kwenye usaili ni kuogopa ….

Ni ukweli usiopingika kuwa kingereza ni muhimu sana hasa kwenye usaili maana pale kuongea kingereza ni lazima hakuna chaguo lakini kisiwe kikwazo kwako pambana usiogope ….unga unga hakuna ambacho tunaweza kumwambia mtu sasa hivi anayekwenda kwenye usaili na ni muoga wa kuongea kizungua zaidi ya kumwambia akikiongee hicho hicho cha yes no ,am say ….lakini kamwe asikubali kutetemeka na kuwa bubu mbele ya panel..huu ni ushindani!

Kosa kubwa sana msailiwa utalifanya ni kurudi home ukijua kabisa ulishindwa kabisa kuongea chochote hadi muda ukaisha ukaandikiwa sifuri hii itakuwa dhambi kubwa…pambana uwezavyo hadi wewe ukitoka useme mwenye umejaribu na kupambana kwa uwezo wako wote… mengine unamuachia Mungu!

Jamani walio mtaani wanatamani wangepata kufanya usaili wa kuongea lakini wamekosa nafasi kwa hiyo usikubali kamwe kupoteza nafasi kwa kisingizio cha lugha na kwenda kuwa bubu au kukimbia usaili..kapige hizo broken kazipige kaunge unge….mtaa auwezi kukusamehe kwa kimbia usaili au kwenda kuwa bubu!

Usiogope ,Usiogope Usiogope!
 
Ukikata ngoma iwe droo, interviewer akiuliza swali mwambie explain more,hapo ndio utajua mbombo ni mbombo😄😄
They may not tell you to explain but their questions will make you do so! What you need is to pay attention and give what you have in mind….
 
Mjinga san a yule mzee,baada ya yeye kukijua hakutaka wengine wakijue,akajifanya kukomalia kiswahili
😂😂😂😂 we are wasting our time blaming the dead Man,he can fix nothing …,those who came after his administration did nothing!
 
Kila kukicha wasailiwa mnapigana spana ninyi kwa ninyi. Mara usiombe mikoa hii, mara kama hujui lugha ya malkia baki nyumbani. Acheni hofu ombeni kazi, Mungu ndio mpaji
 
Kila kukicha wasailiwa mnapigana spana ninyi kwa ninyi. Mara usiombe mikoa hii, mara kama hujui lugha ya malkia baki nyumbani. Acheni hofu ombeni kazi, Mungu ndio mpaji

Mwalimu jinoe. Kama English inakupiga chenga utakuwa kwèñye Wakati mgumu
 
Jamhuri ya Muungano....

Kwenye usaili wa Oral Kada ya afya wengi wameboronga kwa sababu ya kingereza kibovu. Kutokujua kingereza wengi kumewafanya wasijiamini katika kujieleza.

Ndugu zetu walimu ni vizuri Siku Mbili zilizobakia kama unajijua unaongea broken English, bora ujipige Msasa kuficha udhaifu huo.

Maswali yalikuwa marahisi lakini changamoto Kwa wengi ilikuwa kujieleza Kwa ufasaha Kwa kingereza.
Mwalimu kama unajijua Somo Lako utatumia kingereza kufundishia jitahidi Sana kujinoa. Maana Broken English huku itakufanya ukandwe.

Umuhimu wa kusoma Shule za English Medium kwèñye hizi interview unaonekana.
Yule liqud anawadanganya.
Hao wanaosimamia usaili wenyewe kiingereza kinawapiga chenga, wanapata wapi ujasiri wa ku select the best candidates basing on their English proficiency ?
 
English tena jamani? si waangalie tuu vyeti.mambo gani hayo ya kuanza kupanikisha.Sasa GPA zina kazi gani?
Wengine wana GPA za chupi. Prove before the interviewers that the GPA on the paper is real yours.
 
Wengine wana GPA za chupi. Prove before the interviewers that the GPA on the paper is real yours.
Hapo lazima waende na maji🤣🤣. unakumbusha yule dada mwenye A ya kifaransa kwenye cheti cha kufoji.akaitwa jamaa anayejua kifaransa ili amuhoji kwa kifaransa juu mashaka na cheti chake. Kikao cha mahojiano kiliishia kwenye salamu tu.
 
Nchi imejaa wahuni sana.
 
😂😂😂😂 we are wasting our time blaming the dead Man,he can fix nothing …,those who came after his administration did nothing!
Wee unajikuta Nani wenzio wanachat swahili wewe unatumia kimombo😂
 
Back
Top Bottom