Kingereza ni changamoto kwa JF members, nyuzi za English hazisogelewi

Kingereza ni changamoto kwa JF members, nyuzi za English hazisogelewi

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,556
Reaction score
2,571
Nyuzi nyingi za kingereza humu JF huwaga hazina wachangiaji kitu ambacho kinatia shaka uwezo wa wana great thinkers kwenye ishu mzima ya lugha ya kimalikia.

Na hata watakaochangia ukisoma kingereza chao unaweza ukakesha unacheka. Bado sijaelewa kama great thinkers wengi wamesoma shule za kata au hawapendi tu nyuzi zilizowasilishwa kwa kutumia ngeli?
 
Asilimia 95 mpaka 97 wamesoma kwa mitaala iliyoandaliwa kwa kiswahili, mimi nakushangaa wewe na si wao.
 
Wia nani ingilishi spika........majoriti ofu asi.....ingilishi izi a sedi langueji

Kikurya-Kiswahili-English........
 
Back
Top Bottom