Kingereza ni changamoto kwa JF members, nyuzi za English hazisogelewi

Kingereza ni changamoto kwa JF members, nyuzi za English hazisogelewi

Enderea kuchapa kazi,kua mzarendo ongea kiswahili.

Nasema uongo jamani?

Anhaaa nasema uongo ndugu zangu?

Tumeibiwa sana...nataka wamarekani wafundishwe darasani kwa kutumia kiswahiri..

Kiswahiri oyeee
Hahahaha

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Kingereza kilikuja na ndege kwetu ni tatizo la kila mtanzania
 
***** we nyumbu umeanza kujipinga! Hata Kama mtu hajui ngeli inafaa nini Kama si kula yake..? Acha tujitapanye na kiswahili chetu kinatutosha.
Ofukozi pipo uzidi tu dai ini ze reki au sio jamani ?
 
Kwa msisitizo ungeandika kwa kiingereza. Huwa nashangaa mnaanzisha mada kuponda kiswahili huku umeandika kiswahili.
 
Write in english, I don't understand swahili
Write in English. I don't understand Swahili.

Make sure you capitalize a specific language. Also, use a period and not a comma between two complete sentences. Have a wonderful day.
 
Nyuzi nyingi za kingereza humu jf huwaga hazina wachangiaji kitu ambacho kinatia shaka uwezo wa wana great thinkers kwenye ishu mzima ya lugha ya kimalikia.

Na hata watakaochangia ukisoma kingereza chao unaweza ukakesha unacheka. Bado sijaelewa kama great thinkers wengi wamesoma shule za kata au hawapendi tu nyuzi zilizowasilishwa kwa kutumia ngeli?
'Kingereza' kinatusumbua sana maana wengine ndo tumekisoma leo kwnye thread yako ila 'kiingereza' kwetu ni mwendo mdundo.
 
Nyuzi nyingi za kingereza humu jf huwaga hazina wachangiaji kitu ambacho kinatia shaka uwezo wa wana great thinkers kwenye ishu mzima ya lugha ya kimalikia.

Na hata watakaochangia ukisoma kingereza chao unaweza ukakesha unacheka. Bado sijaelewa kama great thinkers wengi wamesoma shule za kata au hawapendi tu nyuzi zilizowasilishwa kwa kutumia ngeli?
Post na majibu yanatoa picha halisi huu ya elimu ya wanachama wengi wa JF ondoa Great Thinkers. Wanaoweka Post ni za hovyohovyo hazieleweki! Wanaojibu nao ni za hovyohovyo wengine hujibu bila hata kuisoma na kuielewa Post.

Hata hivyo Great Thinkers wengi walikwisha jitoa JF hapo alibaki mmoja PM naye siku hizi simuoni, labda kajificha kwao kuogopa mafua ya kupumua.
 
Nyuzi nyingi za kingereza humu jf huwaga hazina wachangiaji kitu ambacho kinatia shaka uwezo wa wana great thinkers kwenye ishu mzima ya lugha ya kimalikia.

Na hata watakaochangia ukisoma kingereza chao unaweza ukakesha unacheka. Bado sijaelewa kama great thinkers wengi wamesoma shule za kata au hawapendi tu nyuzi zilizowasilishwa kwa kutumia ngeli?
Kwan huwezi kuwa great thinker kama hujui kimombo?
 
Post na majibu yanatoa picha halisi huu ya elimu ya wanachama wengi wa JF ondoa Great Thinkers. Wanaoweka Post ni za hovyohovyo hazieleweki! Wanaojibu nao ni za hovyohovyo wengine hujibu bila hata kuisoma na kuielewa Post. Hata hivyo Great Thinkers wengi walikwisha jitoa JF hapo alibaki mmoja PM naye siku hizi simuoni, labda kajificha kwao kuogopa mafua ya kupumua.
Ni kweli usemacho siku hizi humu mzaha mwingi sana tofauti na miaka ile.

Hata ukileta mada mtambuka bado watu wataleta mzaha
 
Back
Top Bottom