Kingereza ni changamoto kwa JF members, nyuzi za English hazisogelewi

Kingereza ni changamoto kwa JF members, nyuzi za English hazisogelewi

Kiingereza sio changamoto tu humu JF Bali hata kwa maprofesa wetu mfano mzuri ni yule hybrid wa Kirundi Ndalichako
 
Hivi nikitaka kuagiza supu ya utumbo na vitumbua viwili kwa kiingereza nasemaje ?
 
Sjui Kwann mzungu akiongea kiswahili kibovu atapigiwa makofi lakin mswahili akiongea kingereza kibovu atazomewa?
kiswahili ndo lugha yetu sisi hicho kingereza hata tukikosea siyo kitu Cha ajabu isipokua utumwa ulio nao ww ndo unakufanya uone ajabu
 
Kwa kweli ni utumwa, hata mzungu mwenyewe (mwenye lugha yake) hawezi kukucheka ukiongea kiingereza kibovu. Nilishakuwa nao mara kadhaa.

Ila wabongo sasa, ukikosea kiingereza unaonekana mjinga kabisa.
 
Nilisikia mtu akitoa jibu kwamba kingereza hakijawahi kumpa chakula hivyo kiswahili na kipare vinamtosha, nakubaliana na wewe hiyo lugha inatusumbua wengi.
 
Nyuzi nyingi za kingereza humu JF huwaga hazina wachangiaji kitu ambacho kinatia shaka uwezo wa wana great thinkers kwenye ishu mzima ya lugha ya kimalikia.

Na hata watakaochangia ukisoma kingereza chao unaweza ukakesha unacheka. Bado sijaelewa kama great thinkers wengi wamesoma shule za kata au hawapendi tu nyuzi zilizowasilishwa kwa kutumia ngeli?
Hakuna great thinkers nowadays on JF. JF ilikuwa miaka ya mwanzo, not now! Imebaki midabwada tu! Nani aandike kiingereza humu? Ukitaka ujibiwe na wenye angalau akili kiduchu andika ka broken english utakuwa umewakomesha!
 
Nyuzi nyingi za kingereza humu JF huwaga hazina wachangiaji kitu ambacho kinatia shaka uwezo wa wana great thinkers kwenye ishu mzima ya lugha ya kimalikia.

Na hata watakaochangia ukisoma kingereza chao unaweza ukakesha unacheka. Bado sijaelewa kama great thinkers wengi wamesoma shule za kata au hawapendi tu nyuzi zilizowasilishwa kwa kutumia ngeli?
Weka tu uzi kwa lugha ya kiingereza nitakuitia wachangiaji wapo wengi tu humu jukwaani mimi ninawajua. Weka uzi
 
Nyuzi nyingi za kingereza humu jf huwaga hazina wachangiaji kitu ambacho kinatia shaka uwezo wa wana great thinkers kwenye ishu mzima ya lugha ya kimalikia.

Na hata watakaochangia ukisoma kingereza chao unaweza ukakesha unacheka. Bado sijaelewa kama great thinkers wengi wamesoma shule za kata au hawapendi tu nyuzi zilizowasilishwa kwa kutumia ngeli?
Chukulia mkuu fulani kaitisha harambee hapa Bongo, pesa zitakazochangishwa ni hizi zetu za madafu, huwezi kuona pesa ya kiingereza wala ya kimarekani kwenye huo mchango na siyo kwamba hakuna matajiri.
Hivi Socrates alizungumza kiingereza? Au wewe ukiota unaota kwa kiingereza? Kwa Bongo kiingereza ni sawa na lugha yoyote ya kikabila, tofauti ni kwamba lugha hii inafundishwa mashuleni ili tuweze kuwasiliana na mataifa mengine yasiyozungumza lugha zetu.
Na kwa masikitiko makubwa hata hapa JF kuna watu wanaandika kiswahili ambacho unaweza kucheka siku nzima.
Kuwa mzalendo.
Penda nchi yako, penda lugha yako.
 
Can I get a bowl of beef/goat/pork tripe soup and 2 rice pancakes, please?
You'd definitely get the right soup , but you'd be in for a surprise with your "rice pancakes" order.

Correct me if I'm wrong but for "it" to be considered a pancake shouldnt "it" be cooked on a flat pan ?

I doubt if whatever is cooked on the traditionally moulded pan qualifies to be called a "pancake".
 
AFAIK, A round ball-like shape or flattened rounded shape are all pancake shapes, it depends on where you ask for one. Ref, danish pancake ball, Camping - Danish Pancake Balls

You see, the same dish can be prepared and saved differently in other countries. You'll just stick to the recipes.
 
Kwani nikileta uzi kwa lugha ya kichaga utapata wachangiaji?

Wacheni ujinga
 
Back
Top Bottom