Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,116
- 4,979
utumwa unatusumbua sana inawezekana na nchi zilizotawaliwa na wafaransa wako hivi pia
mimi kweli kingereza sijui na sina mpango wa kujua zaidi kwa kuwa hakina mchango mkubwa kwa maisha yangu ya kila siku
hivyo sioni kama ni swala la kujisumbua nalo naandika broken na wazungu tunaelewana mzigo unafika.
sio issue sana.
ikisumbua wapo watu hawanakazi wala kipato tutawapa kazi wapambane nayo we vipi!